Wafuatao, ndio watu pekee wanaoijua kesho yao!

kurudi mavumbini kulala usingizi baada ya pumzi ya roho kuuacha mwili mtu anayarudia mavumbi anakuwa mavumbi anazikwa haendi popote analala kaburini kusubiri siku ya hukumu, ambapo kila mmoja alielala ataamka wengine kwa uamsho wa kuhukumiwa wengine kwa uamsho wa kukombolewa.
Roho inakufa pia?
 
Walokole hawa wa lalalaaa shika raba????
Mbingu ni ya WALOKOLE, watakatifu,wana wa Mungu,

Sasa ikiwa unapenda kwenda mbinguni, tamani kuwa Mlokole,

Tofauti na hapo, moto unakusubiri.
 
Nmekuuliza walokole wa shika raba?
 
haha kwamba unataka kusema inarudi ikiwa inajitambua hebu nipe hilo fungu
(Yuda 1:14-15)

14: Na Henoko, mtu wa Saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,

15: Ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaashibisha wote wasiomcha Mungu.....

... mwisho wa kunukuu...

Hizo ndizo Roho unazosema zinamrudia Muumba,

Ikiwa huelewi maandiko fahammu kuwa, ukishazaliwa hapa duniani, njia ni mbili tu baada ya mwili kutengana na mtu halisi ambaye ni Roho,

1. Wamchao Mungu ndizo Roho zitazomrudia Muumba, SI Roho pekee zisojitambua, ni watu halisi wa kiroho.

2. Wasiomcha Mungu,hushuka kuzimu miili yao ikibaki kaburini, mwili ndio hamujui chochote ulio kaburini, lakini wafu kule kuzimu ambao ni Roho, hawamrudii Mungu maana ni Roho ovu, huenda kusubiri hukumu.

Hao ndio wataitwa siku ya hukumu wahukumiwe kwenda jehanum wakati Yesu atakaporudi akiwa na watakatifu wake siku ya hukumu.

Ni heri uulize ueleweshwe kuliko kubishana.
 
(Yuda 1:14-15)

14: Na Henoko, mtu wa Saba baada ya Adamu, alitoa maneno ya unabii juu ya hao, akisema, Angalia, Bwana alikuja na watakatifu wake, maelfu maelfu,

15: Ili afanye hukumu juu ya watu wote, na kuwaashibisha wote wasiomcha Mungu.....

... mwisho wa kunukuu...

Hizo ndizo Roho unazosema zinamrudia Muumba,

Ikiwa huelewi maandiko fahammu kuwa, ukishazaliwa hapa duniani, njia ni mbili tu baada ya mwili kutengana na mtu halisi ambaye ni Roho,

1. Wamchao Mungu ndizo Roho zitazomrudia Muumba, SI Roho pekee zisojitambua, ni watu halisi wa kiroho.

2. Wasiomcha Mungu,hushuka kuzimu miili yao ikibaki kaburini, mwili ndio hamujui chochote ulio kaburini, lakini wafu kule kuzimu ambao ni Roho, hawamrudii Mungu maana ni Roho ovu, huenda kusubiri hukumu.

Hao ndio wataitwa siku ya hukumu wahukumiwe kwenda jehanum wakati Yesu atakaporudi akiwa na watakatifu wake siku ya hukumu. Ni heri uulize ueleweshwe kuliko kubishana.
Ushapotea ndugu
 
Ushapotea ndugu
WEWE ndio umepotea hujui,

Roho ndio huupa mwili jeuri na uhai, kibri nk nk,

Roho ndiye mtu,

Roho ikijitengana mwili,

Roho inaendelea kubaki na akili ,ufahamu na hisia zote maana ndiye mtu halisi,

Mwili hubaki kasha tupu lisilojua chochote, ndio maana maandiko yakasema wafu hawajui chochote(mwili),

Ndio maana hata wahindi huchoma moto miili, haisikii chochote.

Wewe ndio wale hudhani miili iliyo kaburini huhisi joto, kule hakuna haja ya ac, mwili ni kopo tupu, ndio maana unatakiwa kutawala mwili wako usikutenge na Mungu wako KUPITIA tamaa za mwili kama uzinzi, pombe nk nk.
 
Kuwa mwehu sio lazima uvute bangi, urogwe au unywe pombe.
 
Sasa umevutwa na kitu gani kusoma na kujibizana kwenye mada ya mwehu?

Nakuombea uijue kweli one day, ufahamu wa Mungu ukuingie.

Ubarikiwe 🙏
 
WEWE ndio umepotea hujui,

Roho ndio huupa mwili jeuri na uhai, kibri nk nk,

Roho ndiye mtu,

Roho ikijitengana mwili,

Roho inaendelea kubaki na akili ,ufahamu na hisia zote maana ndiye mtu halisi,

Mwili hubaki kasha tupu lisilojua chochote, ndio maana maandiko yakasema wafu hawajui chochote(mwili),

Ndio maana hata wahindi huchoma moto miili, haisikii chochote.

Wewe ndio wale hudhani miili iliyo kaburini huhisi joto, kule hakuna haja ya ac, mwili ni kopo tupu, ndio maana unatakiwa kutawala mwili wako usikutenge na Mungu wako KUPITIA tamaa za mwili kama uzinzi, pombe nk nk.
sasa uzuri sio wewe unaehukumu sote tunamsubiri kristo arejee, nakuombea uwe miongoni wa watakaokombolewa nduguyangu.
 
Biblia ni coded,

SI rahisi kuielewa,

Kabla ya Yesu kuja kwa hukumu, utaanza unyakuo wa watakatifu.

Watanyakuliwa walio hai kuungana na wale walio mbinguni waliokufa kabla ya unyakuo.

Sasa nikuulize, unamsubiri Yesu kaburini wakati uko hai Leo?

Mtu afapo hata Leo hii kabla ya unyakuo, wa Mungu huenda mbinguni mwili anauacha chini.

Afapo mtenda DHAMBI, huenda kuzimu kusubiri hukumu,

Huyo ndiye atafifuliwa kwa ajili ya hukumu.

Uelewa hili,

Baada ya unyakuo, walioachwa watapitia mateso makali, baada ya miaka elfu kwisha,

Walio mbinguni, walio nyakuliwa na wale waliokwenda mbinguni baada ya kufa kabla ya unyakuo, wanaitwa watakatifu ambao watarejea kuja kuwahukumu waovu (Yuda 1:14-15)

Yesu arudipo kwa hukumu akiambatana na watakatifu, atawafufua waliosurvive mateso,yaani wachache walioachwa baada ya kutokea unyakuo, na wengine watakaokuwa wmekufa baada ya unyakuo watabaki kaburini, ndio hao wayaofufuliwa waungane na watakatifu.

Soma Biblia kwa ufahamu, ukifungua codes.

Tofauti na hapo, zitakuchanganya.
 
Salaam, Shalom!

Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo,

Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani wapo wanadamu wenye KUISHI chini ya jua hili na wanaoijua kesho yao, ni akina nani hao?

JIBU: WATAKATIFU WAISHIO DUNIANI( WALOKOLE), NDIO WANADAMU PEKEE WENYE UHAKIKA,WAIJUAO KESHO YAO.

Aliyempa Yesu Kristo maisha yake, mwenye KUISHI MAISHA ya utakatifu,ndiye mwenye UHAKIKA juu ya kesho yake, ni mtu anayeishi, past, present na future kwa wakati mmoja.

Ushahidi huu hapa: (John 5:24)

Yesu asema: Amin, Amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno LANGU na kumwamini Yeye aliyenipeleka Yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, Bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.

... Mwisho wa kunukuu.....

Mtu na asikudanganye, kuokoka, kuisikia injili, habari njema ya Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach,Mungu aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu, ni muhimu sana, fursa hiyo amenyimwa shetani na mapepo waasi, wangependa waipate Ili kurudi Mbinguni lakini waeikosa,

Fursa hiyo umepewa Mwanadamu Tena ni wakati huu ukiwa hai, baada ya kifo ni hukumu ikiwa hujamwamini Yesu.

Na mtu aliyemwamini Yesu, jina lake likaandikwa KITABU CHA uzima, hasimami hukumuni siku Ile ya mwisho.

NOTE: MLOKOLE NI IMORTAL ( ZABURI 82:6).
Mlokole, mtakatifu, hana mwisho wa MAISHA yake, Mlokole ni Immortal, ni muungu, hana mwisho. Na uungu huo kaupata kwa kumwamini Yesu.

Ikiwa unapenda kuwa na hakika juu ya kesho yako, fuatisha sala hii;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE,UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LANGU YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN.
Leo nimetoka kuona pkpk imeandikwa nyuma " kutafuta tutafute, hakuna aijuaye kesho"
Suddenly Leo Leo nakutana na huu ujumbe.!

Katika ulimwengu wa Roho nahisi Kuna somo linanijia.!
 
Ni kweli,

Mimi mwenyewe mada hii hata sikuwahi kuwaza kuiandika,

Nimeisikia tu Katika Roho muda SI mrefu, nikatii na kuileta.

Ubarikiwe 🙏
 
Salaam, Shalom!

Kuna msemo wa wasiojielewa usemao ati "Hakuna aijuaye kesho yake" huo ni uongo,

Kesho ya watu inafahamika na ni uamuzi wa mtu mwenyewe kuamua kesho yake iweje, sasa hapa duniani wapo wanadamu wenye KUISHI chini ya jua hili na wanaoijua kesho yao, ni akina nani hao?

JIBU: WATAKATIFU WAISHIO DUNIANI( WALOKOLE), NDIO WANADAMU PEKEE WENYE UHAKIKA,WAIJUAO KESHO YAO.

Aliyempa Yesu Kristo maisha yake, mwenye KUISHI MAISHA ya utakatifu,ndiye mwenye UHAKIKA juu ya kesho yake, ni mtu anayeishi, past, present na future kwa wakati mmoja.

Ushahidi huu hapa: (John 5:24)

Yesu asema: Amin, Amin, nawaambia, Yeye alisikiaye neno LANGU na kumwamini Yeye aliyenipeleka Yuna uzima wa milele; wala haingii hukumuni, Bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani.

... Mwisho wa kunukuu.....

Mtu na asikudanganye, kuokoka, kuisikia injili, habari njema ya Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach,Mungu aliyekuja Katika mwili wa Mwanadamu, ni muhimu sana, fursa hiyo amenyimwa shetani na mapepo waasi, wangependa waipate Ili kurudi Mbinguni lakini waeikosa,

Fursa hiyo umepewa Mwanadamu Tena ni wakati huu ukiwa hai, baada ya kifo ni hukumu ikiwa hujamwamini Yesu.

Na mtu aliyemwamini Yesu, jina lake likaandikwa KITABU CHA uzima, hasimami hukumuni siku Ile ya mwisho.

NOTE: MLOKOLE NI IMORTAL ( ZABURI 82:6).
Mlokole, mtakatifu, hana mwisho wa MAISHA yake, Mlokole ni Immortal, ni muungu, hana mwisho. Na uungu huo kaupata kwa kumwamini Yesu.

Ikiwa unapenda kuwa na hakika juu ya kesho yako, fuatisha sala hii;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINA KUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE,UZINZI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LANGU YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMIN.
Umekuja kuokoka siku hizi! Manake zamani ulikuwa mtu wa spiritism! Kweli Yesu Kristo ni Bwana!!!
 
Niko vile vile,

Ni vile tu ujumbe wa Leo imeeleweka vyema kwako.
 
Pumba tupu.
 
Back
Top Bottom