Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,031
- 33,752
Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi.
Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee.
Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh. milioni 20 za kumnunulia gari!
Lisu ana wafuasi zaidi ya laki 7 twitter
Maranja Masese wafuasi laki 5
Maria Sarungi wafuasi milioni 1+
Lema wafuasi zaidi ya laki 8
Imagine wote hawa ameshindwa kupata milioni 500 ya kununua shangingi la Lisu?
Kama kila mmoja hapo akatoa wafuasi elfu 50 wangepataikana wafuasi 200,000 kisha kila mmoja angechanga sh. elfu 2000 wangeshapata milioni mia 4 za fasta tu.
Je, watu wamempuuza Lisu?