Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,152
- 10,862
Nchini Canada katika jiji la Montreal waungaji mkono wa Palestina na wale walio dhidi yao wanaounga mkono Israel wamepigana wakati wa maandamano na kupelekea waziri mkuu wa nchi hiyo kutoa tamko la kutovumiliwa kwa hali hiyo.
Hii imekuja wakati waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akitekeleza ahadi yake kuwa mashambulizi dhidi ya wananchi na wanamgambo wa Palestina hususan katika eneo la Gaza yataendelea na kwa kasi kubwa zaidi.
Mapema leo Ndege za kivita za Israel zimetumia silaha kali zaidi kulingana na miripuko yake kupiga majumba ya wapalestina,viwanja vya wazi na kambi zilizohamwa za wapiganaji wa makundi tofauti yanayopambana nayo.
Kwa upande mwengine hasara zianazotokea upande wa Israel nako zimeongezeka kutokana na maroketi ya kutoka Gaza kutua juu ya majumba ya waisrael.
Hapo ni Esdorot ndani ya Israel.