Wafuasi wa Palestina na Israel wapigana Canada

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,149
10,854
Nchini Canada katika jiji la Montreal waungaji mkono wa Palestina na wale walio dhidi yao wanaounga mkono Israel wamepigana wakati wa maandamano na kupelekea waziri mkuu wa nchi hiyo kutoa tamko la kutovumiliwa kwa hali hiyo.

Hii imekuja wakati waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akitekeleza ahadi yake kuwa mashambulizi dhidi ya wananchi na wanamgambo wa Palestina hususan katika eneo la Gaza yataendelea na kwa kasi kubwa zaidi.

Mapema leo Ndege za kivita za Israel zimetumia silaha kali zaidi kulingana na miripuko yake kupiga majumba ya wapalestina,viwanja vya wazi na kambi zilizohamwa za wapiganaji wa makundi tofauti yanayopambana nayo.

Kwa upande mwengine hasara zianazotokea upande wa Israel nako zimeongezeka kutokana na maroketi ya kutoka Gaza kutua juu ya majumba ya waisrael.
1621231265283.png


Hapo ni Esdorot ndani ya Israel.
1621231500472.png
 
1621372219838.png

Pichani Magaidi yakiomba Msamaha kutoka kwa Bauncer hahahaha... Waandamanaji wengi ni wakimbizi wa arabuni waliokataa kukimbilia nchi za Kiarabu sasa wanaleta Shida tu...

Marekani kakataza mkutano wa UN kuhusu Gaza baada ya Magaidi kutokemea wala kuweka report ya Maroketi zaidi ya 3000 kutoka kwa hamas na vifo vya watoto Waisrael na Raia wa kigeni waliouwawa na rocket za hamas.. Yaani majinga mengi yamegeuza as if Israel anapigana mwenyewe tu kwa kuenjoy alafu hawatamki Hamas katu wanatamka Palestines pakee Marekani kaufutilia mkutano wa wajinga.

UN statement being blocked by US does not mention Gaza rocket attacks​

Joint resolution fails to include thousands of rockets fired at Israeli civilians from Gaza

A draft statement by the United Nations Security Council currently being blocked by the United States makes no mention of the over 3,000 rockets fired by Gaza terrorists at Israeli civilians over the past week, according to a copy obtained by The Times of Israel (TOI).
The 15-member Security Council held its third emergency meeting on Sunday amid the daily barrage of rocket attacks fired by Gaza terrorists at Israeli civilians and the Israeli military's attempts to prevent that ordnance from reaching their intended targets.
 

Top Palestinian official: No Arab leaders have contacted Abbas since outbreak of violence​

 
Back
Top Bottom