Wafuasi wa CHADEMA wana maslahi gani na chaguzi nje ya Tanzania?

Umejuaje kama ni wafuasi wa CHADEMA?

Huna kazi nyingine za kufanya?
Tunawaona humu jf, chadema wanajulikana na wasio chadema wanajulikana.
Kuna wengine waliahidi kuhama nchi tundu asipokuwa rais, nadhani ndo Hawa akina Lema, mmawia, denooJ etc.
 
Ukiwa mjinga, siku zote unajiangalia wewe tu. Lakini werevu huiangalia Dunia yote maana kinachotokea Duniani, humwathiri kila mtu either negatively or positively.

Kwa sababu umekuwa mjinga unaamini kuwa watanzania hawahusiki na chochote kinachotokea nje ya Tanzania. Yawezekana umeenda shule lakini kwa bahati mbaya inaobekana hujapata maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawana cha kujibu ila kumbuka hawa ni nyumbu na sifa kuu za nyumbu ni pamoja na kufuata mikumbo
 
Sio kila anayehudhuria mkutano wako ni shabiki wako

..Wewe umekuwa mpaka NAIBU WAZIRI na bado hujui kwamba Magufuli[ akiwa waziri wa ujenzi wa Tz ] alifanya makosa kumpigia kampeni Raila Odinga? Magufuli na Eng.Kijazi wanafanya makosa sana kutowapa semina elekezi viongozi vijana wanaoteuliwa ktk nafasi mbalimbali.
 
Ndugu zangu,

Kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania kuisha tumeshuhudia jinsi wafuasi wa CHADEMA wanavyopambana katika harakati za kisiasa mitandani katika kila nchi duniani kipindi cha uchaguzi.

Baada ya saa moja kwa waganda kumaliza kupiga kura tumeshuhudia wafuasi wa CHADEMA nchini wakisambaza matokeo ya uchaguzi kutoka sehemu mbalimbali nchini Uganda.

Si Uganda tu, wafuasi wa CHADEMA walishiriki harakati za uchaguzi katika nchi ya Kenya, Malawi, Zambia, Zimbabwe, Amerika, Afrika kusini, Urusi, Uingereza nk.

Nini haswa dhumuni la wanaharakati hawa kushiriki chaguzi hizo huku wakionesha hisia na ushabiki mkubwa kama vile kuna manufaa ya moja kwa moja wanayapata.

Nakaribisha mjadala usioumiza
Hivi wewe, kila ukiamka ni cdm, cdm, cdm as if walikuwa waume zako na Sasa wanekubwaga! Hivi huna habari kuwa huko ccm unakojificha wanaumiza na kuusugua bongo zao namna ya kuondoa changamoto ya vyumba vya madarasa na madawati kwa akili ya watoto wa nchi hii?
Wewe umekalia kuisema cdm huku ukijiweka pembeni kuchangia hata wazo tu kwa halmashauri yako, kata, Kijiji na hata shule ya jirani juu ya namna ya kutatua changamoto ya madawati na vyumba vya madarasa na vyoo badala ya kuingoja serikali! Uandikie Basi hata ubalozi wa marekani wakajenge choo kwenye shule ya Kijiji utokacho ili kujijengea heshima badala ya kuhangaika na cdm isiyosaidia chochote kwa Sasa!
Ccm, watu wa aina ya wakudadavua hawana msaada kwenu na ni moja ya wapinzani wakubwa wa serikali ya ccm wakijificha kwenye hoja za kitoto za kuichafua cdm ilihali Kuna changamoto za kuwawezesha na kuwapelekea wananchi maendeleo hasa madarasa na madawati mashuleni yanaendeleza siasa za kiduanzi na kuwachafua! Fukuzeni aina hii ya wanachama wakabweke mbele huko!
 
Ramli,hujui kitu,punguza jazba
..Wewe umekuwa mpaka NAIBU WAZIRI na bado hujui kwamba Magufuli[ akiwa waziri wa ujenzi wa Tz ] alifanya makosa kumpigia kampeni Raila Odinga? Magufuli na Eng.Kijazi wanafanya makosa sana kutowapa semina elekezi viongozi vijana wanaoteuliwa ktk nafasi mbalimbali.
 
Punguza jazba

Back
Top Bottom