Wafuasi wa CHADEMA wana maslahi gani na chaguzi nje ya Tanzania?

CHADEMA HUYU HAPA CHADEMA AKIMPONDA MUSEVENI JUKWAA LA WAGANDA

Na wewe ni mtetezi wa M7,sivyo?
 
Umenikumbusha kipindi Lowasa yupo chadema kina Mbowe walimrubuni kwenda kumpigia Kenyata kampeni.

Chadema ni mbumbumbu wa siasa za kimataifa kwa sababu kile kitendo kama Kenya kungetokea machafuko kama yale ya 2007, moja kwa moja kina LOWASA wangehusishwa.
 
Kiongozi wa kusambaza matokeo ya Uganda ni Hilda Newton

Je, wewe una maslahi gani na Hilda Newton mpaka kusambaza twit zake? Hii itasaidia kuweka hiyo dhana yako vizuri kuwa ukitoa habari ya jambo fulani, basi una maslahi nalo.
 
Umenikumbusha kipindi Lowasa yupo chadema kina Mbowe walimrubuni kwenda kumpigia Kenyata kampeni.

Chadema ni mbumbumbu wa siasa za kimataifa kwa sababu kile kitendo kama Kenya kungetokea machafuko kama yale ya 2007, moja kwa moja kina LOWASA wangehusishwa.

Umesahau Museveni, Rais wa Burundi na Malawi walikuja hapa kipindi cha kampeni na kumuombea Magufuli kura? Nyani haoni.
 
Ukiwa mjinga, siku zote unajiangalia wewe tu. Lakini werevu huiangalia Dunia yote maana kinachotokea Duniani, humwathiri kila mtu either negatively or positively.

Kwa sababu umekuwa mjinga unaamini kuwa watanzania hawahusiki na chochote kinachotokea nje ya Tanzania. Yawezekana umeenda shule lakini kwa bahati mbaya inaobekana hujapata maarifa.
 
Umesahau Museveni, Rais wa Burundi na Malawi walikuja hapa kipindi cha kampeni na kumuombea Magufuli kura? Nyani haoni...
Angalau wale walikuwa na ziara ya kikazi kama marais!

Yeye Lowasa na chadema walikuwa na mpango gani hasa kusafiri hadi Kenya ili kumpigia chapuo Uhuru? Mtu ambae 2007 alisababisha watu zaidi ya 1500 kuawa?
 
Matokeo ya uchaguzi ni kama matokeo ya mechi ya soka. Sioni ubaya wa watu kusambaza au kupata habari za matokeo ya mchuano wowote ule. Labda ungeweka hadharani, ni kitu gani kinachokusumbua kama habari ikiwekwa hadharani?
Tatizo yanaonyesha mpinzani akiwa mbele. Ingekuwa ni m7 hoja hii isingekuwepo.
 
Hawana kazi za maana za kufanya kwa ajili ya taifa lao. Wangekuwa busy lakini sasa wanahangaika huku na kule.
 
Angalau wale walikuwa na ziara ya kikazi kama marais!

Yeye Lowasa na chadema walikuwa na mpango gani hasa kusafiri hadi Kenya ili kumpigia chapuo Uhuru? Mtu ambae 2007 alisababisha watu zaidi ya 1500 kuawa?

Hakuna kosa lenye wangalau.
 
KURA MMEIBA USHINDI MMEPATA KWA ASILIMIA MIA.

LETENI AJIRA
ACHENI KUSINGIZIA WATU KESI
ACHENI KUTEKA WATU
ACHENI KUNYANG'ANYA HELA KWENYE AKAUNTI ZA WATU

CHADEMA IMEKUFA NYIE MLIO HAI LETENI MAENDELEO!
 
Duh hatari sana
Umenikumbusha kipindi Lowasa yupo chadema kina Mbowe walimrubuni kwenda kumpigia Kenyata kampeni.

Chadema ni mbumbumbu wa siasa za kimataifa kwa sababu kile kitendo kama Kenya kungetokea machafuko kama yale ya 2007, moja kwa moja kina LOWASA wangehusishwa.
 
Kamanda ungejibu swali kwanza
Je, wewe una maslahi gani na Hilda Newton mpaka kusambaza twit zake? Hii itasaidia kuweka hiyo dhana yako vizuri kuwa ukitoa habari ya jambo fulani, basi una maslahi nalo.
 
wakudadavua hii kazi ya kuisakama cdm iliwahi mpatia ulaji miaka ile huenda hata Leo anategemea Yale ya zamani kutokea maana hata alipopewa unaibu dada hakudeliver alikuwa yupoyupo tu, mkuu aka substitute.
 
Kamanda jikite kwenye hoja acha kuweweseka
wakudadavua hii kazi ya kuisakama cdm iliwahi mpatia ulaji miaka ile huenda hata Leo anategemea Yale ya zamani kutokea maana hata alipopewa unaibu dada hakudeliver alikuwa yupoyupo tu, mkuu aka substitute.
 
Umenikumbusha kipindi Lowasa yupo chadema kina Mbowe walimrubuni kwenda kumpigia Kenyata kampeni.

Chadema ni mbumbumbu wa siasa za kimataifa kwa sababu kile kitendo kama Kenya kungetokea machafuko kama yale ya 2007, moja kwa moja kina LOWASA wangehusishwa.

..Umesahau Jpm akiwa bado waziri alikwenda kumpigia kampeni Raila Odinga.

..sasa kati ya Lowassa ambaye alikuwa nje ya serikali, na Jpm aliyekuwa ndani ya serikali, unadhani nani alikosea zaidi kwenda kupiga kampeni Kenya?
 
Alialikwa na haikuwa kampeni kamanda
..Umesahau Jpm akiwa bado waziri alikwenda kumpigia kampeni Raila Odinga.

..sasa kati ya Lowassa ambaye alikuwa nje ya serikali, na Jpm aliyekuwa ndani ya serikali, unadhani nani alikosea zaidi kwenda kupiga kampeni Kenya?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom