Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,560
Na wewe ni mtetezi wa M7,sivyo?CHADEMA HUYU HAPA CHADEMA AKIMPONDA MUSEVENI JUKWAA LA WAGANDA
Museveni kwisha habari yake, sasa ategemea Jeshi na Polisi tu
Huyu mzee tulimuonya tangu mapema sana kwamba miaka aliyoingoza Uganda inatosha , mwaka ujao asigombee tena , kwa bahati mbaya sana akapuuza. Akaanza Juhudi za kishetani za kupunguza miaka yake kwa kushrikiana na Maaskofu njaa , eti umri wake ulikosewa ! baadaye akaamua kuondoa vifungu vya...www.jamiiforums.com
Una maslahi gani na kukosa habari za duniani?Unamslahi gani na uchaguzi wa Uganda?
Kiongozi wa kusambaza matokeo ya Uganda ni Hilda Newton
Umenikumbusha kipindi Lowasa yupo chadema kina Mbowe walimrubuni kwenda kumpigia Kenyata kampeni.
Chadema ni mbumbumbu wa siasa za kimataifa kwa sababu kile kitendo kama Kenya kungetokea machafuko kama yale ya 2007, moja kwa moja kina LOWASA wangehusishwa.
Angalau wale walikuwa na ziara ya kikazi kama marais!Umesahau Museveni, Rais wa Burundi na Malawi walikuja hapa kipindi cha kampeni na kumuombea Magufuli kura? Nyani haoni...
Tatizo yanaonyesha mpinzani akiwa mbele. Ingekuwa ni m7 hoja hii isingekuwepo.Matokeo ya uchaguzi ni kama matokeo ya mechi ya soka. Sioni ubaya wa watu kusambaza au kupata habari za matokeo ya mchuano wowote ule. Labda ungeweka hadharani, ni kitu gani kinachokusumbua kama habari ikiwekwa hadharani?
Angalau wale walikuwa na ziara ya kikazi kama marais!
Yeye Lowasa na chadema walikuwa na mpango gani hasa kusafiri hadi Kenya ili kumpigia chapuo Uhuru? Mtu ambae 2007 alisababisha watu zaidi ya 1500 kuawa?
Nakuhakikishia yafuatayo;Kiongozi wa kusambaza matokeo ya Uganda ni Hilda Newton
Una maslahi gani na kukosa habari za duniani?
Umenikumbusha kipindi Lowasa yupo chadema kina Mbowe walimrubuni kwenda kumpigia Kenyata kampeni.
Chadema ni mbumbumbu wa siasa za kimataifa kwa sababu kile kitendo kama Kenya kungetokea machafuko kama yale ya 2007, moja kwa moja kina LOWASA wangehusishwa.
Je, wewe una maslahi gani na Hilda Newton mpaka kusambaza twit zake? Hii itasaidia kuweka hiyo dhana yako vizuri kuwa ukitoa habari ya jambo fulani, basi una maslahi nalo.
wakudadavua hii kazi ya kuisakama cdm iliwahi mpatia ulaji miaka ile huenda hata Leo anategemea Yale ya zamani kutokea maana hata alipopewa unaibu dada hakudeliver alikuwa yupoyupo tu, mkuu aka substitute.
Umenikumbusha kipindi Lowasa yupo chadema kina Mbowe walimrubuni kwenda kumpigia Kenyata kampeni.
Chadema ni mbumbumbu wa siasa za kimataifa kwa sababu kile kitendo kama Kenya kungetokea machafuko kama yale ya 2007, moja kwa moja kina LOWASA wangehusishwa.
..Umesahau Jpm akiwa bado waziri alikwenda kumpigia kampeni Raila Odinga.
..sasa kati ya Lowassa ambaye alikuwa nje ya serikali, na Jpm aliyekuwa ndani ya serikali, unadhani nani alikosea zaidi kwenda kupiga kampeni Kenya?