Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Huyu bibi ndiyo maana unaibu waziri uliota mbawaUmejuaje kama ni wafuasi wa Chadema?
Huna kazi nyingine za kufanya?
Umejuaje kama ni wafuasi wa Chadema?
Huna kazi nyingine za kufanya?
huyu bibi ndiyo maana unaibu waziri uliota mbawa
Na msaidizi ni nani?Kiongozi wa kusambaza matokeo ya Uganda ni Hilda Newton
Sasa si ukamuulize hayo maswali yeye au ulitaka asambaze picha za jiji la Chato?Kiongozi wa kusambaza matokeo ya Uganda ni Hilda Newton
Matokeo ya uchaguzi ni kama matokeo ya mechi ya soka. Sioni ubaya wa watu kusambaza au kupata habari za matokeo ya mchuano wowote ule. Labda ungeweka hadharani, ni kitu gani kinachokusumbua kama habari ikiwekwa hadharani?Kiongozi wa kusambaza matokeo ya Uganda ni Hilda Newton
Kamanda amekengeukaJikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Tena wengine ni wana CCM haswa lakini wanataka haki na siyo haya madikteta.Umejuaje kama ni wafuasi wa Chadema?
Huna kazi nyingine za kufanya?
Tume ya Uganda kidogo ina nafuu kuliko hili tawi la CCM(NEC)"Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja". Huu ulikuwa msimamo wa TANU na ni wa mapendo makubwa sana.
Tunaishi kwenye dunia moja. Kinachotokea popote kinatuhusu. Na Waganda ni ndugu zetu wa karibu. Nimefurahi kuona wanavyohesabu kura kwa uwazi. Laiti tungekuwa hivyo.
Don't be parochial. Have a global view of things.
Zinasubiriwa kura za kwenye mabegi mweusi.Kwanini wafwasi wa CCM wanafurahia dhuluma za uchaguzi kwa sasa wamehamia kwa m7
Watu wanashabikia ligi kuu ya Uingereza na hasemi mbona!Matokeo ya uchaguzi ni kama matokeo ya mechi ya soka. Sioni ubaya wa watu kusambaza au kupata habari za matokeo ya mchuano wowote ule. Labda ungeweka hadharani, ni kitu gani kinachokusumbua kama habari ikiwekwa hadharani?
Sasa si ukamuulize hayo maswali yeye au ulitaka asambaze picha za jiji la Chato?
Umejuaje kama ni wafuasi wa Chadema?
Huna kazi nyingine za kufanya?
Matokeo ya uchaguzi ni kama matokeo ya mechi ya soka. Sioni ubaya wa watu kusambaza au kupata habari za matokeo ya mchuano wowote ule. Labda ungeweka hadharani, ni kitu gani kinachokusumbua kama habari ikiwekwa hadharani?