UFUNUO WA TANZANIA
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 471
- 166
Wafuasi wa vyama hivi viwili wamepigana leo shule ya msingi chamwino Morogoro. Chanzo ni kuwa wafuasi wa CCM waliunga mkono wananchi watoe tshs 50,000 ili kuandikisha watoto wa darasa la kwanza nje ya ,michango mingine lukuki huku wafuasi wa CHADEMA wakipinga hatua hiyo ya kutoa kiwango hicho cha fedha wakisema ni ufisadi wa serikali ya CCM.Source Mimi mwenyewe