Wafuasi wa CCM na CHADEMA wapigana Morogoro

Wafuasi wa CCM na CHADEMA wapigana Morogoro

Heee Tooba!!! std one 50,000 naskia ada za kikwete academy buku 20 tu! Hii nchi bana kuiongoza ni kama kumsukuma mlevi vile, huitaji kuwaza saaana, mana unaowaongoza nao hawawazi sana
 
Kumbe ukiandika dhidi ya chadema kwenye jamii forum unafutwa du hongereni sana. Kutawala chadema labda Afica kusini makaburu watawale tena ndio chadema mtawale mtaishia kwenye jamii forum.
 
Wafuasi wa vyama hivi viwili wamepigana leo shule ya msingi chamwino Morogoro. Chanzo ni kuwa wafuasi wa CCM waliunga mkono wananchi watoe tshs 50,000 ili kuandikisha watoto wa darasa la kwanza nje ya ,michango mingine lukuki huku wafuasi wa CHADEMA wakipinga hatua hiyo ya kutoa kiwango hicho cha fedha wakisema ni ufisadi wa serikali ya CCM.Source Mimi mwenyewe

BRN-Better Resign Now.
 
hii habari ni ya kweli hata eatv wameonesha mkuu tena wamepigana mbele ya mbunge wenu abood, sio kila wakati mnaleta ubishi wa kijinga, we ndo ulifundishwa kuwa kila habari lazima iambataane na picha! ujinga.

asante sana kwa kuweka mambo sawa kamanda .
 
kwahiyo kumbe ccm imeamua kumkamua hadi damu mwananchi ?
 
Chadema mmepewa mkanda wa ngumi na medali tutawapa francis cheka maana hata bungeni ni hayo hayo wananchi hawashangai kwa matukio kama haya kutokea chadema wakiwepo.
 
Hahah,
Embu pata picha hii Mijadala ya Humu JF kama watu wangekuwa wanakutana kama pale Nkuruma kujadili hali ingekuwaje?

Kuna wachangiaji humu wangekuwa Marehemu humu siku nyingi.
 
hongera sana mbunge abdulaziz.umeonyesha ukomavu wa kisiasa bila ya kujali ugomvi wa vyama.sisi wazazi tumefurahi sana kuona watoto wetu wameanza shule.bwana yesu akubariki daima.
 
Duuu naona chadema watatoa mwaka huu bingwa wa ngumi maana kila kukicha ngumi mkononi ! Haya wananchi hao ndio wanaotaka kushika dola2015.
 
Umethibitishwa na chuo gani cha uandishi wa habari wewe unaejiita ufunuo wa Tanzania.? Ili tuamini kwamba umeripoti sawasawa.? Prove kwa picha na vigezo.! Acha mbwembwe.!

TBC1 na Channel 10 wameirusha jana LIVE inaelekea huangaliagi TV kupata taarifa za habari au umekatiwa umeme Billi kubwa ya umeme TANNESCO? Na bado ccm hiyohiyo mnayoitetea itawakong'oli hadi mjambe cheche
 
sasa hivi itakua kila anayepigana ni aidha CHADEMA CCM anu nKaf, maana hapa sijui mleta mada aliwajuaje aisee
 
Back
Top Bottom