Man Jaribuni
Member
- Jul 1, 2015
- 97
- 25
haa haa na jk yumo?
Kaka Rais haguswi ata akimalza mda wake, angefungwa mkapa kwa kesi ya Prof Mahalu. Katiba inawalinda km ulikua hujui
haa haa na jk yumo?
Ni Raia Tanzania, sio Raia Mwema.
waendelee kubadilishanaSiasa ni kitu cha ajabu sana. Juzi, uongozi wote wa ACT mkoa wa Morogoro ulihamia Chadema. Leo, Arumeru wanahama Chadema kuelekea ACT! Naona ngoma ni dro.
Gazeti gani hilo lilioandika habari hizo??? Kumbe ni Rai Mwema tehe tehe.
Ni haki yao kuhama na kuhamia.
Kwa ufupi kusema vijana elfu kata ya NKOANRUA inaharamisha habari nzima.
Mhuni mmoja aliyekosa nafasi ya kugombea asitufanye majuha.
Kuitisha kikao yenye watu 20 alishindwa hao elfu kawatoa wapi
waje ccm tuijenge nchi
Ni haki yao kikatiba kwa hiyo hakuna sababu ya kuwabeza wala kuwatukana.......ni kama alivyotumia haki hiyo LOWASA ndivyo na wao wanaitumia......
Dr Slaa, wewe u mzalendo wa kweli..! Uliposema Lowasa fisado, kweli ulinaanisha na umekuwa radhi kulala njaa kuulinda ukweli huo. Lakini usijali, Tinga tinga linaanzisha mahakama ya majizi na mafisadi, kwa hiyo yeyote an anayejitapa mtaani kuwa wampeleke mahakamani basis mahakama hiyo inakuja, akajiandae kunyea debe.
Kata gani arumeru iwe na vijana 1000 wamuunge mkono mtu mmoja acha uongo wewe kadanganye magamba wenzako
Ni haki yao kimsingi.
tatizo liko wapi