Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kata ya Nkwandurua Wilaya ya Arumeru , Samwel Shami pamoja na takriban Vijana 1,000 wa kata hiyo wamehamia Chama cha ACT-Wazalendo.
Chanzo: Raia Tanzania.
View attachment 280078

kwi kwa kwa tupe tarehe na siku ambayo Dr Slaa alijizuru kipeperushi kinangoja tuHili gazeti naliamini san; ndo lililosema slaa ajiuzuru chadema; watu wakatukana sana wakasusa na kulinunua; sasa kiko wapi?
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kata ya Nkwandurua Wilaya ya Arumeru , Samwel Shami pamoja na takriban Vijana 1,000 wa kata hiyo wamehamia Chama cha ACT-Wazalendo.
Chanzo: Raia Tanzania.
View attachment 280078
Dr Slaa, wewe u mzalendo wa kweli..! Uliposema Lowasa fisado, kweli ulinaanisha na umekuwa radhi kulala njaa kuulinda ukweli huo. Lakini usijali, Tinga tinga linaanzisha mahakama ya majizi na mafisadi, kwa hiyo yeyote an anayejitapa mtaani kuwa wampeleke mahakamani basis mahakama hiyo inakuja, akajiandae kunyea debe.
Waondoke tu maana chadema imeshavamiwa na mafisadi.
Kwa haya maigizo watahama wengi
sisi sio wote wajinga au marofa- wakiwa mawaziri wanagawana viwanja , watoto wao wanaajiliwa kwa memo
leo ; nazunguka dar - huijui - na kwanini leo
nakunywa chai na mama ntilie- mama ntilie wameanza kazi leo
napanda bodaboda - mwezi huu wa uchaguzi
come with strong argument so people can judge on it .
waje ccm tuijenge nchi
Kwa ufupi kusema vijana elfu kata ya NKOANRUA inaharamisha habari nzima.
Mhuni mmoja aliyekosa nafasi ya kugombea asitufanye majuha.
Kuitisha kikao yenye watu 20 alishindwa hao elfu kawatoa wapi