Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Mich you Kasie ulikuwa wapi!? Hope you good... Haya mambo yapo lakini ni mpaka yakutokee kwa hakika ndio utaona sio uzushi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipoo uhenga unanipelekesha hata napotea humu.... nimefurahi kusikia sauti yako.
Ukimuona former Sergio De Souz kwa darubini zako mwambie Kasie anakusabahi. Natumai atakuwa ameshafahamu baadhi ya maneno ya kiswahili.
