MHUBIRI 9
4 Kwa sababu hii ni kwa ajili ya yeye aliyeambatana na wote walio hai; (Maana ni nani aliye hai kuliko nguvu aliyekufa);
5 kwa sababu walio hai wanajua kwamba watakufa; Lakini wafu hawajui neno lolote, wala hawana ijara tena; Maana kumbukumbu yake limesahauliwa.
6 Mapenzi yao na machukio yao, na huchuda yao, imepotea pamoja; Wala hawana sehemu tena katika jambo lolote lililofanyika chini ya jua.
MSHANA jr hebu jibu swali hilo km wewe unajua roho zinaendae juu au chini?
Wafu hawana IJARA CHINI YA JUA. JE IJARA NI NINI?
Sent using
Jamii Forums mobile app