Wafanyakazi wawili wanahitajika; Kazi ni kuwapikia chakula mafundi site

Joyce Faby

Member
Oct 19, 2017
5
2
Ninahitaji wafanyakazi wawili,
Jinsia ni Ke,
Umri kuanzia 18 hadi 30,
Kazi ni kuwapikia chakula mafundi site,

Mshahara ni elfu 50,
Eneo ni Zanzibar.

:Malazi na chakula nitagharamia.
Mawasiliano:
0772751757

Karibuni.
 
Matatizo mengi ya wanawake yanasababishwa name wanawake.
Mwanamke anamtafuta mwanamke mwenzake akamlipe elf 50
 
Wacheni kubweteka!

Chakula na malazi apewe then useme 50 haimtoshi?

Ulitaka mshahara kiasi gani ili ujigharamie chakula na malazi kwa kazi ya upishi?

Mkuu 50,000 elfu ukiigawa ni sh gapi kwa siku?

Ngoja nisiendelee kuandika nilichotaka kuandika kwa sababu tu you are my fellow cop.
 
Kwa mfano mtu ambaye amepanga, chumba anakiacha?

Au akiendelea kukimantain si maana yake itabidi akilipie?

Hiyo kazi ni ya muda gani, ukimaliza kazi let's say ni 3 months na awe amesevu 100% kama unavyotaka, 150% ni mtaji wa biashara gani?
 
Kuna watu wana shida na hyo kazi. Watamtafuta.
Umefika wakati lazima kupinga haya mambo ya cheap labor...kazi za ujenzi ni moja kati ya kazi zenye kuingiza pesa nyingi sana kwa wakandarasi lakini cha ajabu bado kuna haya mambo ya kunyonya wengine.
Mshahara ni alzima umsidie/umkwamue mtu kimaisha, sasa hiyo 50elfu inamsaidia nini mtu hadi akubali kuungua na moto mwezi mzima aisubiri hiyo pesa?
 
Wewe umefanya nini kuwasaidia Hawa watu wanaotafuta ajira
 
Back
Top Bottom