TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

Sasa huo u exclusive uko wapi! Mbona hata kwenye vyombo mbalimbali vya habari hii taarifa ilirushwa pamoja na hayo majeneza! Tena yakiwa kabisa na picha za hao marehemu!!

Au inawezeka sielewi maana sahihi ya neno "exclusive"? Aaaah!! Sorry! Kumbe ulipigia kwenye ghorofa la NHIF, lililo mkabala na jengo la TRA!! Hongera sana mkuu.
 
hii ajari inaonyesha hipo upande wa jicho la tatu.

[mention]Mshana Jr [/mention] labda hata tueleza.

pitapita zangu kwa wapenda uchawahi wanadai gari lilokimbizwa la magendo lilikuwa fiti kwenye dawa ,hata yoyote hawezi kulikamata.

nikaona bora kuweka hapa tujue
Rudi shule bwana mdogo ukafundishwe kuandika kwanza ndio urudi kutuambia unataka kusemaje...
 
hii ajari inaonyesha hipo upande wa jicho la tatu.

[mention]Mshana Jr [/mention] labda hata tueleza.

pitapita zangu kwa wapenda uchawahi wanadai gari lilokimbizwa la magendo lilikuwa fiti kwenye dawa ,hata yoyote hawezi kulikamata.

nikaona bora kuweka hapa tujue
Kipindi hiki cha sayansi na teknolojia kubwa kweli maafisa wenye PHD zenu mnakimbizana na raia mtaani wakati zipo njia nyepesi tu za kufanya tracking na mkaweza kukamata wahalifu na kudhibiti magendo yote.

Elimu bila maarifa huleta utumwa wa akili na maafa.
 
Wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kikosi kazi cha Fast Track wamefariki dunia kwa ajali ya gari aina ya Landcluser lililogonga kwa nyuma Lori aina Fuso. Walikuwa wakifukuzana na gari iliyodhaniwa kubeba magendo

Ajali hiyo imetokea leo Agosti 23, 2021 saa 11 alfajiri katika barabara ya Mbeya Tunduma eneo la Hanseketwa Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe.

Kaimu Meneja wa Forodha wa TRA wa Tunduma, Omary Mnzava amewataja watumishi watano wa mamlaka hiyo kikosi kazi cha fast track waliofariki ajalini leo asubuhi Jumatatu mkoani humo ni Azari Shifonike ambaye ni dereva, Joel Mitondwa, Saidi Buddy, Fahad Hassan na Benard Mashingi.
Hii barabara ya kwetu ni mbaya kuliko. Hainiingii akilini watu kukimbiza gari kwenye barabara hii. Kwa nini hawakupiga simu polisi ili askari wa barabarani waisimamishe? Hii barabara ni hatari sana. Anyway tunajifunza kitu hapo. Tuwa makini. TRA msiwambie wafanyakazi wenu wakimbize magari. Hilo la kufukuzia magari waachieni polisi wanajua jinsi ya kuyakamata.
 
Mi sio trafiki, ila hawa jamaa wanaonekana walikua wana overtake wakakutana face to face.. maana wapo upande wa kulia.. yaan ugonge gari kwa nyuma uchakae hivo?
Gari walilokuwa wanalifukuza liliovetake gari la mbele yake na wao waka follow suit wakaona kuna gari mbele limekaribia wakarudi walikotoka ndipo wakagonga fuso kwa nyuma. Kwa vile walivyokuwa speed kubwa ndiyo ikatokea hivyo. Dereva wa fuso naye katestify.
 
So na hayo magendo nayo yaligongwa au?hii ni hasara sana kwa wanafamilia hasa huyo dogo wa kipemba aisee 26 tu sometimes alikuwa field.

Namaanisha hiyo gari iliyokuwa ikifukuzwa au jamaa walitembea?
 
Back
Top Bottom