TANZIA Wafanyakazi watano wa TRA wafariki dunia kwenye ajali

Nimesikitika kupata taarifa kuwa walikua wanakimbiza piki piki iliyobeba Vitenge Mungu atusaidie kwa kweli unawezaje kutumia LX kukimbiza boxer kama mnaendelea kufanya hiyo mambo acheni kabisa mnahatarisha maisha yenu bila kujua hawawezi kutangaza chanzo wanajua ni ujinga ila ndio habari za watu wa road wamepata hizo...
 
Hawa jamaa walikua wanakimbiza gari yenye mzigo wa magendo, mwenye hio gari aliovertake hilo lori kukawa na lori lingine linakuja face to face (mwenye magendo) akafanikiwa kulipita hilo lori, hii cruiser ikashindwa kupita maana lori lingine lilikua karibu tayari ikabidi jamaa apige hili lori kwa nyuma ndo akazama uvunguni..ila yote kwa yote hata tusemaje ndugu zetu hawa hawawezi kurudi tenda...pumzika kwa Amani mwanangu Saidi Buddy....jamaa alikua mwana kichizi....
Ila hio gari kwa mtazamo tu ni kuwa imeliwa kushoto na eneo lililolika ni kofia so imevuka bonnet ikala kofia yote upande wa kushoto mpaka mlango wa nyuma😅!

Its likely jamaa alitaka kutoka akiwa kashavuta speed. IST akachomeka mbele ya lorry ikabidi mwenye Fuso aminye brakes za ghafla kumuachia IST aingie kati kabla hajabamizwa na lorry jengine linalokuja uso kwa uso, so hawa TRA walipotaka kufuata wakaona moto wa horse! Dereva akaiuma corner ya fuso nyuma ndio ikamenya kofia yote mpaka nyuma
 
Gari ikiharibika unaita breakdown..inaelekea hujawahi pata shida barabarani wewe...na inawezekana kulikua na hitilafu ndogo tu..au ni neglegensi ya huyo dereva wa TRA..Akakanyaga kibati bila kukadiria braking distansi...uwapo barabarani whatever the speed ur driving ni lazima uwe na tahadhari..jiulize "what if" kwenye kila kitendo unachokifanya barabarani.
Tunaweza kubishana sana lakini ukweli unabaki pale pale, magari ni mabovu ni hatari kwa watumiaji wengine, barabara zisiwe garage
 
Nimesikitika kupata taarifa kuwa walikua wanakimbiza piki piki iliyobeba Vitenge Mungu atusaidie kwa kweli unawezaje kutumia LX kukimbiza boxer kama mnaendelea kufanya hiyo mambo acheni kabisa mnahatarisha maisha yenu bila kujua hawawezi kutangaza chanzo wanajua ni ujinga ila ndio habari za watu wa road wamepata hizo...
Unauza ng'ombe kwa kesi ya kuku
 
Ninachojiuliza kwanini wafukukuzie gari wakati barabarani kuna askari wa usalama, kukimbiza gari barabarani kwa kuwa ni TRA ni hatari hata kwa usalama wa watu wengine na mwisho Mbeya na Songwe ni mikoa miwili tofauti ilikuwaje watumishi wa TRA wa mkoawa Mbeya wakafanye operesheni mkoa wa Songwe je waliruhusiwa na nani? je mkoa wa Songwe hawana TRA, je wakati wanaenda Mbozi waliwasiliana na wenzao wa Mkoa wa Songwe?
Polisi wana njaa sana, hawaaminiki na mamlaka nyingine.

Inakuwaje wahamiaji haramu kutoka Ethiopia wanakamatwa Mbeya?
 
Haimake sense kabisa hapo gari ziliumana face to face aisee ama la hash hio fuso jamaa aliwafanyia uhuni akakanyagaa brakes ghafla TRA akiwa anajaribu kutoka kumu overtake ili akampige pini mbele😸 akaila fuso kwa nyuma pembeni kabisa sababu ile body ya fuso ni chuma kigumu kama container tu huenda ndio ilimenya cruiser namna hio!
Najua unajitahidi kutafakari ila hao wa tra ni wazembe kupindukia!! Kwani hayo magendo wangeyakamata ndio tungeingia uchumi wa kati!! Au walikiwa wanakimbilia matumbo yao!? Rushwa tupu!!!
Mkuu Walichokua wanafanya ni moja ya jukumu lao la msingi la kazi waliyoomba.
Hakuna jukumu LA kujitoa uhai kwa uzembe
 
Najua unajitahidi kutafakari ila hao wa tra ni wazembe kupindukia!! Kwani hayo magendo wangeyakamata ndio tungeingia uchumi wa kati!! Au walikiwa wanakimbilia matumbo yao!? Rushwa tupu!!!

Hakuna jukumu LA kujitoa uhai kwa uzembe
Rushwa ndio inatafutwa hapo sio ishu ya uzalendo
 
Hii ajali ya ajabu aisee! Sasa inakuwaje dereva anagonga gari kwa nyuma alikuwa haoni ama ni mambo ya mzizioloji 👻?
Labda gari kubwa lili simama ghafla,hapa kutakuwa na kamchezo kachafu kamechezwa,hao watuhumiwa it seems hawakuwa peke yao kuna gari jingine labda liliwachomekea wakajikuta wamejaa kwenye lori,hilo eneo kama ni katikati ya Tunduma na Vwawa pamenyooka sana lazima walikuwa zaidi ya km 160 kwa saa,MUNGU awalaze pema peponi.
 
Hawa jamaa walikua wanakimbiza gari yenye mzigo wa magendo, mwenye hio gari aliovertake hilo lori kukawa na lori lingine linakuja face to face (mwenye magendo) akafanikiwa kulipita hilo lori, hii cruiser ikashindwa kupita maana lori lingine lilikua karibu tayari ikabidi jamaa apige hili lori kwa nyuma ndo akazama uvunguni..ila yote kwa yote hata tusemaje ndugu zetu hawa hawawezi kurudi tenda...pumzika kwa Amani mwanangu Saidi Buddy....jamaa alikua mwana kichizi....
Unawajua kumbe..!!
 
Kaka. Kaa mbali na wafanyabiashara wa Makete, Njombe, Mbeya na Mbozi.
Hao mabilionea wanaovaa ndala, wasiokula nyama, wasio na michepuko Wana maagano makubwa sana na ibilisi.
Mwingine ana marufuku ya kuchana nywele, mwingine kuvaa suti mwiko na mwingine asilalie kitanda asilani. Jamani jamani...
 
Sawa lakini uwekwe utaratibu.. Kwa mfano, gari bovu likiripotiwa, lisikae barabarani zaidi ya 30mins. Ukishindwa kutengeneza ndani ya huo muda, livutwe na utalipia hizo gharama. Simple.

Nimewahi kukuta lorry kwenye barabara Jumanne, narudi Ijumaa bado lipo. Ndio maana nasema, barabara zisiwe garage.
Actually huu ndio utaratibu wa majirani zetu hapo Kigali. Gari likiharibikia barabarani; Trafiki anakuja kukusimamia utengeneze. Kama halijapona ndani ya masaa matatu; anaita zile gari za kuvuta ili zije kukutoa barabarani; na hizo gharama utalipia.
 
Back
Top Bottom