hayo maandamano yanaratibiwa na nani? je kama wakitokea watu kutaka kuandamana kwa lengo la kumpongeza lowasa kutokana na utulivu wake wa kisiasa na ukomavu wake pamoja na ustahamilivu alionao ingawa ana chambwa kila siku, maandamano hayo yataruhusiwa.... huu ndio mwanzo wa udikteta.....tuwe makini....hela zenyewe anazosema anadai wazungu bado hawajakubali kulipa mpaka majadiliano yafanyike.... sasa hizo pongezi za nini? kwani wakati mikataba hiyo sheria zake zinapitishwa bungeni yeye alikua wapi?
hii nchi ina waty wanafiki saaana kuliko hata kuzimu