Wafanyakazi wa NAS kugoma kesho

Wafanyakazi wa NAS kugoma kesho

msechutununu

New Member
Joined
Oct 23, 2019
Posts
3
Reaction score
1
Ni wale wa stesheni ya Kilimanjaro. Dar na Dodoma kuungana nao.

IMG-20191223-WA0056.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wagome tupeleke vijana wa jkt wapige kazi wanejaa makambini wanaota kazi halafu kuna miwatu na vitambi vyao yanawaza kugoma

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msigome miaka yote hiyo uko nyuma mje mgome leo...ukiona hivyo mianya ya upigaji imeminywa na kuishi kiuhalisia akili inakataa.

wewe cleaners unatamani mshara wa meneja wapi na wapi??

Thubutuni tu mtaani kuna watu wana njaa ya kuajiriwa tu maswala ya mishahara atakutana nayo mbele.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom