Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,753
Watanzania ni watu wanaoishi kwa kukariri kwamba ukimaliza kusoma inabidi upate kazi yoyote hata kama mshahara mdogo uendelee kukaa hapo huku ukitafuta kazi yenye kipato kizuri huku wakisahau kwamba mfanyakazi anakua na haki zake moja ya principle duniani za kufanya kazi inaitwa DECENT WORK hapa unazungumzia mazingira mazuri ya kufanya kazi mazingira mazuri ya kufanya kazi ili yasikuathiri maisha yako,,hivi kufanyishwa kazi masaa 12 unafikiri mchezo licha ya hayo 35 yanayoongelewa mtu anaeweza kukabiliana na suluba hizo huyo hajitambui thamani yake, niliwahi kuacha kazi sehemu fulani sababu tu ha mazingira mabovu mpaka dakika hii sijawahi jutia, umeme hakuna, nje ya mji ikinyesha mvua matope huwezi kutembea, kiangazi vumbi masaa yote nikimaaanisha vumbi yani ukitembea hatua 5 tu vumbi mpaka magotini, jamaa walikua hawacheleweshi mshahara lakini binafsi nilijichokea...