Wafanyakazi wa kampuni ya Halotel wasitisha huduma

mimi nilisoma UDSM pale UDBS nafanya kazi HALOTEL sijajutia nafanya kazi wilay Moja hivi hapa tz sijajuta kuwa halotel nilizoea boom la chuo now napata salary yangu 450000 posho elfu 90 kwa mwezi nimekosa nini??? . aku mniache na halotel yetu chuki zenu mtajijua wenyewe mnaopandikiza humu JF wengine mpo wafanyakaهzi wa mitandao mingine naona halotel wanawapiku mnaweweseka.... HALOTEL ndio kiboko yao mpaka chunya tupo, urambo, kasulu, ileje n.k chuki ni bure njaa home haipo wife wangu na watoto wana enjoy hata ndg zangu wanaanza kula matunda yangu

duh! Wewe kwel kboko 450 unaenjoy na watoto had ndugu? Mkuu upo Tz kwel? Wenzio wote wanalalama we unakenua? Tragedy
 
Halotel katika huduma,wapo vizuri sana kuliko mitandao mingine nathubutu kusema hvo its a month now nawatumia na cjajuta..pia nawashukuru wamejichanganya dakika zng za promo had leo hazjaisha so natwanga free...tatzo naona lpo kwao kiutendaj na wafanyakaz wao mana gal wang n mwajiriwa n 2 b honest to work wth Vietnam guys n tabu sana na cjui wamejpangaje mana cjaskia tangazo ktk tv wala redio,,mishahara midogo compare 2 tym n work people r duin ila kwe2 wateja 2nafaid sana kuanzia kasi ya Internet na vifurush vyao...polen wafanyakazi to work with Asians yataka moyo
 
Aiseee, we jamaa acha uongo aisee, mie natumia hallotel kwenye internet hamna mpinzani. Tangia wafike hapa tanzania sijawahi kuchukua mtandao mwingine kwenye inetrnet. Hawa jamaa kwa internet wako pouwa kuliko mitandao yooooote.
na kuhusu coverage, jamaa wako katika sehemu kubwaaaa sana, hadi vijijini ambako mitandao hii ya zamani haijafika.
Kuhusu kusumbua mtandao, mie sijaona jamani natumia hiyo hallotel kwa mda wa mwezi na kitu sasa.

Kiukweli hata mimi naona kwa internet wako vizuri kuliko mitandao mingine.
 
Wakuu wanaoleta aya malalamiko n wafanyakazi wa mitandao mingine, kiukweli tuache unafiki kwenye net wapo poa ile mbaya, mm hapa natokea Kasulu kwenda mwanza Na nadhani kila mtu Kasulu anaijua Na mazingira yake,ila toka nitoke Kasulu kibondo now nipo kakonko mtandao wa voda,airtel Na tigo ni majanga, hakuna cha net wala network ya kawaida njiani,

Ila hawa Halotel ni balaaa mpaka sasa nasapua tu, Na Jana usiku nimejiangalizia champion league kwa kutumia net ya Halotel Na haikati hata sekunde,

Hapa Kasulu 3G ya voda Na airtel ni majanga hata kutuma picha c Chini ya dk 5, ila sasa mm nachekea tumboni, dstv nimewatelekeza long time,
Ashukuliwe CHIEF MKWAWA kwa maujanja yake ya KODI Na IPTV bravo my bro CHIEF MKWAWA
 
Last edited by a moderator:
Gomeni tu,tayari wameshatangaza nafasi za kazi,kama uliwah kuajiriwa usiombe unajisumbu,hapa kazi tu migomo peleka vyuoni.
 
Kiukweli hawa Vietel(Halotel) hawana ethics kabisa hakuna mfanowe. Niliwahi kufanya kazi pale kama consultant lakini nilipomaliza kazi nikaapa sitorudia milele. Kwanza wanapokulipa lazima uwatoe kuanzia mabosi(director of finance) hadi wafanyakazi wa chini. Unaombwa rushwa waziwazi bila aibu. Nilikataa! Pili wanataka kulipa the rock bottom price na wanataka uwafanyie kazi kuubwa tena ya kiwango chajuu yaani wanataka kukunyonya tuuu. Nilipokuwa pale wafanyakazi wanatia huruma. Mishahara kiduuchu kuliko hata wahindi na wachina! Ni kweli wanafanyishwa kazi kama punda. Lakini pia nao wavietnam wanapiga kazi na malipo wenyewe kwa wenyewe sio mazuri kivile. Kwa ufupi wao ni wavumilivu. Mtu anakunywa maji tu hadi jioni hali lunch. Mwisho, niseme tu hawa jamaa ni shiiidah lakini watadumu sana hapa kwenye soko maana hawapati hasara sababu wanabana matumizi katika kila walifanyalo. So hakuna hasara kwao! Kama unaona mazingira hayakufai we anza mapemaaa!
 
Back
Top Bottom