Wanabodi
Nimepata taarifa za uhakika kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anahangaika kumbambikizia Lema kesi ya mauaji,hivyo amelazimisha mambo mawili
1.Chuo kufungwa ili kuficha ukweli,hata hivyo uongozi wa chuo ulijitahidi kumweleza madhara ya chuo kufungwa ikiwa ni pamoja na mitihani wiki ijayo,lakini alikataa
2.Mkuu wa mkoa analazimisha baadhi ya wafanyakazi wa chuo kuandika maelezo kwa hati zao,maelezo yatakayomtia Lema kwenye kesi ya mauaji ili akose dhamana
Kiutaratibu na kisheria ili maelezo ya shahidi yapokelewe mahajkamani ni lazima yarekodiwe na afisa wa polisi.