Tetesi: Wafanyakazi Serikalini Zanzibar Walazimishwa Kuichagua CCM

wagagagigi

JF-Expert Member
Dec 9, 2014
890
983
Salaam,

Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini!

Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao wa kazini kwamba ni lazima wamchague Magu pamoja na Mwinyi kwenye uchaguzi huu.

Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo ambazo zimethibisha habari hizi kutoka vyanzo tofauti ikiwemo kutoka katika familia yangu binafsi zinasema kwamba; wafanyakazi kutoka wizara mbali mbali ikiwemo wizara ya afya Pemba, vikosi vya SMZ, JKU na wizara nyengine nyingi wameamriwa na mabosi wao bila haya wala soni kwamba ni lazima kura wapige CCM, yaani wapige kwa Magu na Mwinyi. Katika hali isio ya kawaida wafanyakazi wengi wa wizara tofauti wameorodheshwa information zao zikiwemo majina yao kamili, namba za kadi zao za kupigia kura, IDs zao zote za mzanzibari na zile za NIDA, vituo vya kupigia kura pamoja na namba zao za simu katika maofisi yao.

Habari hizi nimezithibitisha mimi binafsi baada ya kuzungumza na wafanyakazi waliokutwa na kadhia hio. Wengi wanasema kwamba wameshtushwa na kadhia hio na wanahofia vibarua vyao kuota majani iwapo wataamua kwenda kinyume na matakwa ya mabosi wao.

Kwa mara nyengine naomba huu uzi mnibakishie
 
B79CC768-AB78-4151-B5C2-8EC012E064EA.jpeg
 
Kura ni siri na kwenye ile ballot paper haipo sehemu kwamba inaandikwa namba au chochote ipo plain Sasa watajuaje kuwa kura hiyo imepigwa na mtu fulani na amechagua ACT?ninacho fikiri ni kwamba Hussain mwinyi alikutana na makundi mbalimbali kuomba wampigie kura.
 
Muhimu ni kupewa taarifa wafanyakazi kuwa Serikali ijayo kwa vyovyote vile itakuwa ni ya Umoja wa kitaifa maana hakuna kugoma.
Hivyo hata CCM ikatawala kwa mabavu hawana uwezo wa kufukuza wafanya kazi maana serikali ni yetu sote na wizara ni pasu kwa pasu.
Wafanyakazi waache uoga hilo jambo la kufukuzwa kazi haliwezi kutokea na hawawezi fukuza pemba nzima maana kule wafanya kazi wote ni ACT isipokuwa wakuu wa wilaya, mikoa na makatibu wakuu na masheha tu.
 
Kura ni siri na kwenye ile ballot paper haipo sehemu kwamba inaandikwa namba au chochote ipo plain Sasa watajuaje kuwa kura hiyo imepigwa na mtu fulani na amechagua ACT?ninacho fikiri ni kwamba Hussain mwinyi alikutana na makundi mbalimbali kuomba wampigie kura.
Labda taka kupata idadi ili kuchakachua daftari
Lakini hiyo mbinu imeishafeli
 
Salaam,
Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini!

Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao wa kazini kwamba ni lazima wamchague Magu pamoja na Mwinyi kwenye uchaguzi huu.

Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo ambazo zimethibisha habari hizi kutoka vyanzo tofauti ikiwemo kutoka katika familia yangu binafsi zinasema kwamba; wafanyakazi kutoka wizara mbali mbali ikiwemo wizara ya afya Pemba, vikosi vya SMZ, JKU na wizara nyengine nyingi wameamriwa na mabosi wao bila haya wala soni kwamba ni lazima kura wapige CCM, yaani wapige kwa Magu na Mwinyi. Katika hali isio ya kawaida wafanyakazi wengi wa wizara tofauti wameorodheshwa information zao zikiwemo majina yao kamili, namba za kadi zao za kupigia kura, IDs zao zote za mzanzibari na zile za NIDA, vituo vya kupigia kura pamoja na namba zao za simu katika maofisi yao.

Habari hizi nimezithibitisha mimi binafsi baada ya kuzungumza na wafanyakazi waliokutwa na kadhia hio. Wengi wanasema kwamba wameshtushwa na kadhia hio na wanahofia vibarua vyao kuota majani iwapo wataamua kwenda kinyume na matakwa ya mabosi wao.

Kwa mara nyengine naomba huu uzi mnibakishie!
Ni shinikizo kutoka bara. Hata hivyo kura ni siri ya moyo wa mtu. Ile karatasi ya kura haiandikwi namba ya mpiga kura. Wao wawe huru tu kumpigia wanayemtaka.
 
Salaam,
Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini!

Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao wa kazini kwamba ni lazima wamchague Magu pamoja na Mwinyi kwenye uchaguzi huu.

Kwa mujibu wa taarifa tulizonazo ambazo zimethibisha habari hizi kutoka vyanzo tofauti ikiwemo kutoka katika familia yangu binafsi zinasema kwamba; wafanyakazi kutoka wizara mbali mbali ikiwemo wizara ya afya Pemba, vikosi vya SMZ, JKU na wizara nyengine nyingi wameamriwa na mabosi wao bila haya wala soni kwamba ni lazima kura wapige CCM, yaani wapige kwa Magu na Mwinyi. Katika hali isio ya kawaida wafanyakazi wengi wa wizara tofauti wameorodheshwa information zao zikiwemo majina yao kamili, namba za kadi zao za kupigia kura, IDs zao zote za mzanzibari na zile za NIDA, vituo vya kupigia kura pamoja na namba zao za simu katika maofisi yao.

Habari hizi nimezithibitisha mimi binafsi baada ya kuzungumza na wafanyakazi waliokutwa na kadhia hio. Wengi wanasema kwamba wameshtushwa na kadhia hio na wanahofia vibarua vyao kuota majani iwapo wataamua kwenda kinyume na matakwa ya mabosi wao.

Kwa mara nyengine naomba huu uzi mnibakishie!
KURA NI SIRI! WATAJUAJE KAMA WEYE HUJASEMA ULICHOKIFANYA KWENYE SANDUKU LA KURA? CHUGUA CHAGUO LAKO NA LINDA KURA YAKO, BAAS!!
 
Back
Top Bottom