Wafanyakazi: JK Hahitaji kura zetu

Status
Not open for further replies.
mtahangaika sana, lakini tanzania itaongozwa na ccm miaka yote ya maisha yenu na vizazi vyenu

pole sana mtu kama ww si bure utakuta hta mke wako amekukalia, sana tu kama ww ni mwanaume, ccm itan'goka tu penda msipende,, kama Goliati alikuwa na nguvu nying ila alikufa kwa jiwe dogo, ndo kusema ccm hawa mdebwedo tu
 
unajua raha ya ccm ni moja wanajiona ni wababe sana, nguvu ya dola, kuiba kura kwa nguvu na kuhonga kwa sana, ila amini kuna point moja wataingia mkenge watajuta kuijua upinzani, ndo maana hatuna pressure tunakwenda kwa plan na strategy si leo wala kesho ila ipo time muafaka time well tell, raha ya mtu aliyeshiba huwa anajisau na kuwa dharau mingi, one mistake one goal, peoplez power i trust in diz slogan.
 
Zitto alishawahi kutuwekea mishahara ya kutisha ya Rais na Waziri mkuu japo siikumbuki.

Hebu tuambiaeni mishahara ya mawaziri ni kiasi gani ili tulinganishe na watumishi wengine kama kuna uwiano sahihi.
 
kauli hiyo ilimsababisa akaombe kura msikitini vinginevyo angelala.waswahili hawana uwezo wa kutafakari kauli sijui bongo xao zina mapungufu gani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom