gerry ZaNtes
Member
- Jan 1, 2014
- 25
- 13
Tafadhali muheshimiwa waziri naomba uanze na kampuni ya halotel wafanyakazi wazawa tunanyanyasika sana.
1. Hatuna mikataba inayoeleweka
2. Mishahara kiduchu wakati kazi kubwa
3. Hatupewi overtime wakati tunafanya kazi hadi usiku wa manane
4. Hatupewi hata bima ya afya
5. Tunatumia fedha zetu wenyewe kufanya kazi za kampuni na haturudishiwi.
6. Tunacheleweshewa mishahara yetu wkt mwingine hadi tarehe 15 mwezi unaofuata.
Mtu akiuliza kitu kuhusu mshahara, marupurupu au overtime anafukuzwa kazi kama mbwa.
Hayo ni machache tu tafadhali fika ujionee mwenyewe mheshiwa.
Wafanyakazi wazawa halotel tunanyanyaswa wakati wageni wanaishi kama wafalme. Uhuru uko wapi?

Last edited by a moderator: