Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,037
- 3,370
Salaam wakuu,
Katika tukio la kushangaza, wafanyakazi wa kitengo cha huduma kwa wateja ambao wengi wao wapo chini ya erolink, wamelazimishwa kufanya kazi wakati ofisi hizo zikiwa na matatizo ya umeme tangu juzi.
Ofisini hapo, AC hazifany kazi kwaiyo hewa ni nzito,, wafanyakazi wengine haswa wa kike walizimia kwa kukosa hewa lakini bado wengine wanalazimishwa kufanya kazi ktk mazingira hayo hayo.
Call center ya Vodacom inabeba watu siyo chini ya 500., sasa assume AC hamna, watu wanafanya vipi kazi hewa inavyokua nzito ukizingatia madirisha ni madogo mno.
Ofisi hizo zipo mlimani city na hata ukienda sasa utaishuhudia hali halisi. Watu wanafanya kazi kwa tabu mno
Tatizo hilo limeanza juzi tarehe 15/04/17 hadi leo.
Hadi sasa tatizo la umeme halijaisha na bado watu wamelazimishwa kuendelea kufanya kazi
Haya ni manyanyaso mengine yanayoendelea kwa vijana wetu wa kitanzania. Wachukuliwe hatua