Wafanyakazi 597 wa NIDA wafutwa kazi. Waliofutwa wadai hawakulipwa mshahara kwa miezi 3

Sasa kama wanalipwa mshahara kwa kazi hewa tufanyaje, naona kama hakuna namna nyingine
Bado haiondoi haki yao ya kulipwa mshahara maana walikuwa wameajiriwa,hawakuwa na kazi nyingine ya kuwaingizia kipato zaidi ya hiyo.
 
Jamani hebu naombeni tutumie jicho la 3 kwenye hili. Vaa hiyo hali wewe uwe umefanyakaz miez 3 hujalipwa halafu bila kutegemea unafukuzwa kazi.Mosi,hyo miez 3 umeishi vp kukabiliana na cost za naul,chakula,malaz na mavaz? Afu utaish vp huu muda ujao?.mtu wa nida amelalamika production iko chini,kwanin asitumie hao watu kupata production anayotaka? Sera ya serikali ni kuongeza ajira, lakn kwenye hli kwanin wasingeona hao kama resource badala ya mzgo?Sijaipenda hyo hata kidogo.

Mtanisamehe Ila Hakuna WAFANYAKAZI WALIOKUWA NA NYODO, SHOBO, DHARAU NA MARINGO KAMA HAWA WA NIDA. Na BAHATI NZURI NIMETOKA KUMWONA MMOJA WAPO SASA HIVI NINAYEMFAHAMU A TO Z NA YEYE AKILIA LIA MBELE YA MWANDISHI WA ITV Spencer Lameck Aliyukuwa Anairipoti Hiyo TAARIFA. Na HAPA NDIPO AMBAPO KILA SIKU NAWAHUSIA WATU HUMU KUWA MSIPENDE SANA KUWA NA DHARAU au KUWACHEKA WATU FULANI Kwa Maisha Yao Kwani MPANGAJI WA YOTE HAYA NI Mwenyezi Mungu. Na Kwa Ninavyomjua Huyu Dada Najua Sasa Hivi Atauza " Mbunye " Yake Hata Kwa Mkopo Kama Si Hata Kwa Shilingi Mia Tano ILI AWEZE KUENDESHA MAISHA YAKE VIZURI. Akhsante Mwenyezi Mungu KWA KUTULIPIA WANYONGE MALIPO HAPA HAPA DUNIANI Na SASA TUTAHESHIMIANA.
 
hao niliowaona itv mbona hawafiki hata hamsini! hao elfu moja wanafanyia kazi wapi? lazima wengi ni hewa.
 
Zoezi la vitambulisho vya Taifa lilikuwa na dlili zote kuwa lisingefanikiwa maana wajanja wote walikuwa wanalitolea macho.
 
Mgurugenzi wa Nida anasema pale Bmtl zilipo ofisi zao kuna computer 150 ila wafanyakazi ni zaid ya 500....kuna dada nimemuonea huruma anasema ana mkopo bank mpaka machozi yanamtoka ...nikataman ningekuwa karibu nijaribu bahat yangu maana yuko bomba kinoma alafu nina uhakika hana mtu yule
 
Ilifaa watueleze tatizo lilikuwa wapi katika hilo la uzalishaji chini ya kiwango..

Unaweza kuwa na timu kubwa sana..lakini kama Uongozi unashindwa kuweka utaratibu mzuri wa ile "flow chart" watafeli tu..

Hapa ndipo NEC inapoishinda NIDA..

watuambie tatizo ni nini...maana taarifa zote walishazichukua toka kwa watu wanazo wao..

mi siamini kama tatizo ni uzembe wa watu ndy kimepelekea hapo..sababu kuchapisha hizo taarifa si kazi ya misuli au nguvu..

Imawezekana ni miundombinu hakuna au mibovu..
 
Bado haiondoi haki yao ya kulipwa mshahara maana walikuwa wameajiriwa,hawakuwa na kazi nyingine ya kuwaingizia kipato zaidi ya hiyo.
Sikatai wao kulipwa mishahara pia sijafurahia kupunguzwa bila kulipwa chao nasema taratibu zifuatwe za kupunguzwa ila tusilalamike kuwa mameachishwa kazi maana hakuna kazi wanayofanya. Haiwezekani utitiri wa wafanyakazi zaidi ya 1000 kuzalisha vitambulisho 1200 tu kwa siku
 
Mtanisamehe Ila Hakuna WAFANYAKAZI WALIOKUWA NA NYODO, SHOBO, DHARAU NA MARINGO KAMA HAWA WA NIDA. Na BAHATI NZURI NIMETOKA KUMWONA MMOJA WAPO SASA HIVI NINAYEMFAHAMU A TO Z NA YEYE AKILIA LIA MBELE YA MWANDISHI WA ITV Spencer Lameck Aliyukuwa Anairipoti Hiyo TAARIFA. Na HAPA NDIPO AMBAPO KILA SIKU NAWAHUSIA WATU HUMU KUWA MSIPENDE SANA KUWA NA DHARAU au KUWACHEKA WATU FULANI Kwa Maisha Yao Kwani MPANGAJI WA YOTE HAYA NI Mwenyezi Mungu. Na Kwa Ninavyomjua Huyu Dada Najua Sasa Hivi Atauza " Mbunye " Yake Hata Kwa Mkopo Kama Si Hata Kwa Shilingi Mia Tano ILI AWEZE KUENDESHA MAISHA YAKE VIZURI. Akhsante Mwenyezi Mungu KWA KUTULIPIA WANYONGE MALIPO HAPA HAPA DUNIANI Na SASA TUTAHESHIMIANA.
mkuu napenda mbunye za mkopo npm namba zake.fasta
 
NIDA walipewa fedha nyingi za kutosha karibu mara tatu ya tume ya uchaguzi katika zoezi la vitambulisho

NIDA ilikuwa na wafanyakazi zaidi ya 1000 kabla hawajapunguzwa

NIDA walipewa vitendea kazi vya kutosha kama magari computer n.k

Pamoja na uwekezaji wote huo wa serikali NIDA wanazalisha vitambulisho 1200 kwa siku pia haijalipa wafanyakazi kwa miezi 3

Chanzo: ITV habari ya leo usiku
Lau Masha alitaka kuleta kampuni ya Singapore kutengeneza vitambulisho mi ukawa ya humuhumu jf ikakomaa ooh tutengeneze wenyewe tutaokoa pesa, haya pesa imepigwa vitambulisho hakuna, yaani hata computer nizakuazima bmtl, shenzi kabisa.
 
Hao elfu wametokea wapi wakati hao jamaa ajira wamewahi kutoa Mara moja tu miaka mingi iliyopita.
Nina mashaka na kama hata hizo ajira zimefata sheria za tume ya ajira.

Ila wapewe hali yao makosa sio wao ni management uliopita na serikali iliyoondoka.
 
Shida sio ser ya sasa shida hao mangese waliofukuzwa walijaza Madame zaooo kila mikoaa majombazaoo mashangaziii zaooo kunamtu ananiambiaa wakifwatiliaa kunaa mishaahaara hewa kibaoo ya nida hayomajinaa kionjootu

Wakale mkojooo
 
Mgurugenzi wa Nida anasema pale Bmtl zilipo ofisi zao kuna computer 150 ila wafanyakazi ni zaid ya 500....kuna dada nimemuonea huruma anasema ana mkopo bank mpaka machozi yanamtoka ...nikataman ningekuwa karibu nijaribu bahat yangu maana yuko bomba kinoma alafu nina uhakika hana mtu yule
Lol!
Wazee wa fursa katika ubora wenu.
 
Hatudanganyiki......NIDA wauze gari la mkurugenzi iwalipe haki zao.Magufuli hapendi na hataki dhuluma.
 
Back
Top Bottom