kidumuu kimetobokaKidumu chama cha mapinduzi.
kidumuu kimetobokaKidumu chama cha mapinduzi.
Kwanini yamefungwa?Hakuna mfanyabiashara ambaye anataka kufunga biashara ..maana sifa ni kutafuta pesa .....hii statistics ilitolewa na serikali majuzi kupitia waziri wa fedha nina imani utafiti ungefanywa na chombo huru pengine wangegundua makampuni mengi zaidi yamefungwa
Naunga mkono, wafunge tu maduka ili kumpa nafasi ndugu yetu kuinyosha nchi.
mapato ya serikali yamepanda au yako constant ....je makusanyo ni madeni ya nyuma au ni mapya >?Wigo wa kodi ni mpana sana na biashara ni kama daladala wengine wanafunga wengine wanafungua. Wengi wa hao wanaofunga hawakuwa wanalipa kodi hivyo serikali mapato yako vile vile tena yanaongezeka sab wigo umezidi kupanuliwa kwa mfano maduka mengi yanatumia efd mahotel yote siku hizi ukienda na mchepuko unapata efd makampuni ya huduma za kuzoa takataka wanatoa risiti za efd baadhi ya daladala wanatoa risiti za efd hebu angalia wigo huo.
Mkuu kati ya hayo 2000 hebu tutajie makampuni 10 tu na sababu za kufunga biashara zao.
Yameongezeka madeni ya nyuma yameisha wigo umepanuliwa mara mbili sasa hivi hadi lodge za kawaida zinatoa risiti za efd wananchi wanadai risiti than before makampuni ya kuzoa taka yanatoa risit za efd matrafik efd baadhi ya daladala efd kila mahali efd efd efd kwanini mapato yasiongezeke?mapato ya serikali yamepanda au yako constant ....je makusanyo ni madeni ya nyuma au ni mapya >?
we may need authetical datas in justification ....unajuwa hao micro and small scale businesses unaongelea wanna amount percent ndogo sang ya kodi ......nchi hi kuna makampuni makubwa kabisa kama 20 ambayo kama yakilipa kodi inavyotakiwa tutakuwa mbali,pia bandarini wakibana vizuri ,naongelea sio kubana kwa kuwakomoa wafanyabiashara bali kuweka viwango rafiki ambavyo havitavutia watu kukwepa kodi ..na vitafanya traffic ya mizigo bandarini iongezekeYameongezeka madeni ya nyuma yameisha wigo umepanuliwa mara mbili sasa hivi hadi lodge za kawaida zinatoa risiti za efd wananchi wanadai risiti than before makampuni ya kuzoa taka yanatoa risit za efd matrafik efd baadhi ya daladala efd kila mahali efd efd efd kwanini mapato yasiongezeke?
Naongelea hali ilivyo sasa unatoa ushauri nakushauli upeleke kwa philip mpangowe may need authetical datas in justification ....unajuwa hao micro and small scale businesses unaongelea wanna amount percent ndogo sang ya kodi ......nchi hi kuna makampuni makubwa kabisa kama 20 ambayo kama yakilipa kodi inavyotakiwa tutakuwa mbali,pia bandarini wakibana vizuri ,naongelea sio kubana kwa kuwakomoa wafanyabiashara bali kuweka viwango rafiki ambavyo havitavutia watu kukwepa kodi ..na vitafanya traffic ya mizigo bandarini iongezeke
Naongelea hali ilivyo sasa unatoa ushauri nakushauli upeleke kwa philip mpango
Hope kauonaushauri ukipitia hapa JF unafika tu kote huko wala usitie shaka
Wananchi wanakipenda sanakidumuu kimetoboka
Typing error mkuuTena paa la zege siyo la bati
. Sasa sijui utastawi vipi. Au mkuu ulimaanisha uchumi unapaa?
****ACHA AINYOOSHE NCHI.