Wafanyabiashara watishia kufunga maduka zaidi

Anedhani akifunga duka nitalegeza mwafa, kila mtu abebe msalaba wake by rais wa manzese
 
Wayafunge tuu, Mfanyabiashara yoyote lazima uwe na plan A na B, A ikishindikana unakwenda B. Mi nimefunga naenda kulima na kufuga.
Unaenda kufugia wapi na kufanyia kilimo wapi tukufuate lakini isiwe pori la seluu tusije liwa na wanyama
 
Jelous people never win visas vibaya sisi sote wamoja tukifa tunaoza ya nini kukomoana?
Ni wachache wanao jua wakifa wanaoza na kunuka ila kuna kundi flan wanaona wataishi milele na hata wakifa hawanuki kabisa..tucopy na kupaste kwa majirani zetu
 
Unaenda kufugia wapi na kufanyia kilimo wapi tukufuate lakini isiwe pori la seluu tusije liwa na wanyama
Kama mzee mzigua, alivyowaingiza chaka wafugaji!! Muheza kwenye mashamba yetu ya asili, jiandaeni kununua machungwa mkuu
 
wakuu mimi nadhani kwenye dunia ya ushindani hamna ishu ya ubabe. ni lazima tubadilike ili tuweze kushindana vizuri na kupata faida. mimi nimefundisha kuwa njia rahisi ya kupata faida ni kuuza zaidi kwa bei ndogo lakini ukauza kwa wingi na kwa muda mfupi(sales maximizations ) hiyo ndio njia ata china wanayoitumia.
 
Yaani sasa hivi kama una mzigo bora utafute wamachinga wauze kwa maandishi na udhamini, wao hawana flame wala kodi ruksa kujimwaga popote hata mbele ya baraza yako.
 
Chezea mzee mzigua ndio manake nimeogopa basi kama muheza sawa utaweza kutupoteza hila tutakula matunda mpaka basi.
 
Yaani sasa hivi kama una mzigo bora utafute wamachinga wauze kwa maandishi na udhamini, wao hawana flame wala kodi ruksa kujimwaga popote hata mbele ya baraza yako.
Yaahani wautoe uko dukani washinde nao hapo nje wazo zuri sana hila usafi wa mji unauonaje atujakaribia Bombay.
 
Wayafunge tuu, Mfanyabiashara yoyote lazima uwe na plan A na B, A ikishindikana unakwenda B. Mi nimefunga naenda kulima na kufuga.
Umedanganywa eti kilimo cha vitunguu heka 1 utapata na mil. 90 hahah,usisahau kufuga na kuku mkuu
 
Mkulu, phd, analo jibu kwa hoja hii: "hao walikuwa wapiga dili".
kidumu chama cha mapinduzi🙁
 
wakuu mimi nadhani kwenye dunia ya ushindani hamna ishu ya ubabe. ni lazima tubadilike ili tuweze kushindana vizuri na kupata faida. mimi nimefundisha kuwa njia rahisi ya kupata faida ni kuuza zaidi kwa bei ndogo lakini ukauza kwa wingi na kwa muda mfupi(sales maximizations ) hiyo ndio njia ata china wanayoitumia.
Kumbe umefundishwa darasani?Hao walimu wako wanafanya biashara yoyote?Njoo huku site(business) ujionee hali halisi.
 
Wakifunga watakula nini? Biashara ni suala binafsi sio kutishiana na hapo bado benki wanataka hela zao za marejesho. Waseme hali ngumu biashara haziendi tutawaelewa
Hapa ndipo akili za faru john zilipoishia; mnadhani Tanzania "imebarikiwa" na unique kuliko nchi zote. Wafanyabiasha tumekuwa na biashara malawi, congo, uganda kenya etc. Au mfanyabiashara kwa kuona mambo hayaendi anachukua hela na kwenda kuwekeza kwenye kilimo cha muda mrefu. Hapo serikali ishakosa direct tax. Amkeni!
 
Wakifunga watakula nini? Biashara ni suala binafsi sio kutishiana na hapo bado benki wanataka hela zao za marejesho. Waseme hali ngumu biashara haziendi tutawaelewa
Kama biashara haziendi unadhani matokeo yake ni nini kama sio kufunga biashara?
 
Back
Top Bottom