Ameshaanza tena!Ni kosa la jinai kwa wafanyabiashara kuficha vyakula kwa lengo la kulazimisha bei ipande. Kama kweli hao watu wamehifadhi chakula kwenye magodowuni yao kwa nia ovu hiyo basi dola iwakamate na wafunguliwe mashitaka. Huu siyo uzalendo.
Kwani kuna ulazima kuuza mazao yao? Serikali iwakamate kwa lipi? Ilichangia mtaji? Acha kuiga k shughulisha kichwa chako. Rejea kauli ya rais wako shinyanga kuhusu bei ya chakulaNi kosa la jinai kwa wafanyabiashara kuficha vyakula kwa lengo la kulazimisha bei ipande. Kama kweli hao watu wamehifadhi chakula kwenye magodowuni yao kwa nia ovu hiyo basi dola iwakamate na wafunguliwe mashitaka. Huu siyo uzalendo.
njaa ipo ujinga ni kukataa kwamba majanga hayapo ..................Ni kosa la jinai kwa wafanyabiashara kuficha vyakula kwa lengo la kulazimisha bei ipande. Kama kweli hao watu wamehifadhi chakula kwenye magodowuni yao kwa nia ovu hiyo basi dola iwakamate na wafunguliwe mashitaka. Huu siyo uzalendo.
Siku zote mfanyabiashara huweka stock ya mazao ili kusubili kipindi flan bei ikipanda auze kwa bei nzuri na apate faida.., na sidhani kama kuna sheria inayomlazimisha mfanyabiashara ayauze mazao yake kabla ya mda wake aliopanga. Kwa sas gunia la mahindi ni 80000 mpaka 120000 na hayapatikani kwa urahisi.Ni kosa la jinai kwa wafanyabiashara kuficha vyakula kwa lengo la kulazimisha bei ipande. Kama kweli hao watu wamehifadhi chakula kwenye magodowuni yao kwa nia ovu hiyo basi dola iwakamate na wafunguliwe mashitaka. Huu siyo uzalendo.