Mgomo huo ni endelevu hadi serikali itakapo toa majibu juu ya efd na muafaka wa mwenyekiti wa wafanyabiasha bwana Minja aliye nyimwa mdhama na kurudishwa lumande jana
Mbona mimi niko kazini; saa saba nilipata chakuwa kwenye hotel iliyojirani na ofisini kwangu? Au wafanyabiashara ni watu gani kama mimi na huyo mwenye hotel hatupo? Naona na mbele yangu Duka la nguo, Duka la vifaa vya maofisni, Mini grocery yote yako wazi....na hao siyo wafanyabiashara?

Wafanyabiashara leo tarehe 27 wamegoma nchi nzima kwa madai ya kutaka kukutana na serikali TRA kujadiliana njia bora zaidi ya kulipa kodi tofauti na ilivyo sasa ambapo wafanyabiashara wanakandamizwa na sheria mpya ya kodi ilipitishwa na Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Acha wagome hatuna shida nao mbona shambani nafaka kibao.
Wanaoafiki waseme ndiyoooo. Huu upigaji Wa kura ni wakipumbavu sana, sheria za hovyo zote zinapita kwa upumbavu wa ccm