Wafanyabiashara wa Online Business tukutane hapa

dr_vivo_dar

Member
Mar 15, 2022
17
11
Nitaenda kwenye pointi.

Huu uzi ni kwa ajili yako kama una matumizi makubwa sana ya internet ya na unatafuta unafuu.

Nafanya Kazi Tigo. Kitengo cha Tigo Business. Wazee wa Postpaid

Kwa kawaida huwa tunasaidia wateja wenye Online Business wenye hii changamoto:

Una matumizi makubwa sana ya internet na umechoka kuishiwa na bando kabla ya wakati

Vifurushi na bando vipo vya aina nyingi na sio kwa ajili ya kila mtu. Ni kwa ajili yako tu kama una matumizi makubwa ya internet.

Na umechoka usumbufu wa kununua bando mara kwa mara.

Wateja wengi wa online business wanatumia hii huduma kwasababu ni automatic

Kila mwezi kifurushi kinaigia tarehe moja bila kununua. Zinaitwa huduma za malipo baada.

Kujiunga unaweka security deposit au bondi kwa waswahili wenzangu. Hii ni hela inayorudishwa ukitaka kujitoa kwenye huduma baada ya miezi sita.

Kila mwezi mpya ukianza unapokea bando yako tarehe moja, na unalipa mwezi ujao, ndani ya siku kumi na mbili.

Yaani tuseme umejiunga July unakuja kulipia huduma August ndani ya siku kumi na mbili.

Kama unaamini tunaweza tukakusaidia kupata unafuu Tupigie:- 0710 888 996

Wateja ni wengi tusamehe kama tukichelewa kukujibu kwa wakati.

IMG-20220616-WA0008.jpg
 
Ukipiga hesabu vizuri hii gharama inaongezeka.

Mimi prepaid buku mbili napata Gb 1 na dakika 90 siku 7.
 
Back
Top Bottom