Wafanya usafi maofisini

Hawa unaowaita ndugu zako ni kina nani? mabwege kama wewe au! maana watz wengi wetu tupo kwa level ya maisha ya huyo dada,means huyo ndo ndugu ytu sisi,ww labda unamtahadharisha mamako hapa,ungemlaumu kwa ukicheche sawa,but syo kusema DHARAU hapa.
 
hongera kwa kushinda hilo jaribu! Ndiyo tabia zao hizo! Tusipokuwa makini watatumaliza hao!
hivi na wewe una amini kweli alishinda,
we huoni ameandika kwa huzuni/majuto?
 
huyo dada hafai inawezekana hata elimu kuhusu ukimwi hana au ana maisha magumu sana yanayopelekea afanye hivyo ongea nae mwambie anajikaribishia kifo ajirekebishe

Kufanya mapenzi na watu wengi ndio kutokuwa na elimu ya VVU/UKIMWI? Mbona kwenye kampeni tunaambiwa kuna mashua 3. Kuwa na mpenzi 1, kutumia Kinga na kusubiri kwa mtu asiye na mpenzi.
Labda mwenzetu anatumia KINGA, lakini tatizo (kama lipo) halipo kwa huyo dada tu bali hata wale wanaoshiliki nae.

"Kutembea na msichana anayeishi uswaahilini" !!! Unataka wa Upanga na Masaki?
 
Dada wa usafi ndie aliekataa kufanyia ofisini, halafu jamaa linajisifu hapa. Kama angekubali kufanyia ofisini, I amsure jamaa nae angeongeza idadi ya list kwenye floor yao

Alikataa kufanya ofisini! ?
 
huyo dada hafai inawezekana hata elimu kuhusu ukimwi hana au ana maisha magumu sana yanayopelekea afanye hivyo ongea nae mwambie anajikaribishia kifo ajirekebishe
miss neddy, nipo tayari kwa hot talk....
 
Last edited by a moderator:
Dada wa usafi ndie aliekataa kufanyia ofisini, halafu jamaa linajisifu hapa. Kama angekubali kufanyia ofisini, I amsure jamaa nae angeongeza idadi ya list kwenye floor yao

ndio namuuliza, kama kweli ana akili itakuwaje atoe mawazo wafanye ofisini
 
Muongo.......labda useme simu yako haitumii line mbili......kwa hiyo unatumia mtandao mmoja tu.....

hujui tumeanzia wapi stay away........... sipendi watu wanaopenda kuweka maneno midomoni kwa watu mi muongo haya unanifahamu? unataka niseme kitu kinachokufurahisha wewe ndo uwe ukweli
 
........ndio 'anawasafisha floor nzima!' huyo. :coffee:
 
hujui tumeanzia wapi stay away........... sipendi watu wanaopenda kuweka maneno midomoni kwa watu mi muongo haya unanifahamu? unataka niseme kitu kinachokufurahisha wewe ndo uwe ukweli

Calm down my girl....sijazoea kukuona ukiongea hivyo u know. Mi nimezoea kawifi kangu kapole
 
Tatizo hapa ni
Kuombwa nauli

Kulambwa na wanaume

Au kuwa mzuri na kufanya usafi ofisini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…