makwagejo
JF-Expert Member
- Nov 25, 2019
- 361
- 267
1Wafalme22:1-39
kuna wafalme wawili walikaa miaka 3(miaka58 tanzania) pasipokuwa na vita,mmoja wa yuda na waesrael,mfalme wa esrael akawaambia hamjui kuwa ramoth-geleadi(TANZANIA) ni yetu nasi tumekaa kimya tusiitwae mikononi mwa shamu?(CCM).
mfalme wa esrael akamuliza yoeshafati mfalme wa yuda je utakwenda nami tupigane vita?nae akajibu 'watu wangu ni kama watu wako,farasi wangu ni kama Falasi wako,mfalme wa yuda akaomba waulizwe manabii!
kisha wakaitwa manabii mia nne nao mungu akawawekea pepo wa uongo manabii mia nne wakamdanganya mfalme wa esrael akapigane vita,kisha afie huko.
akatokea nabii mmoja akapinga ambae ni mikaya alipo ulizwa akasema nawaona wanaesrael wametawanyika kama kondoo mlimani hawana mchungaji na warudi kwa amani,mfalme akakasilika akamkamata mikaya nakumueka jela.
mfalme wa shamu akawaagiza wanajeshi wake wampige mfalme wa esrael peke yake lakini baada ya mfalme wa esrael kupata taarifa hizo ilibidi abadilishe vazi akampa rafiki yake vazi la kifalme,rafiki alivyoanza kushambuliwa akapiga ukelele akasema siyo mm.(MBOE ALIBADILISHA MAVAZI HAPA AKAMUACHIA JAMAA YAKE YEYE AKAJIONA MJANJA)
sasa kuna watu wanadhani tanzania ni ya kwao, niwaambie wasiopenda mabadiliko ya nchi hii na kuirudisha mikoni mwa majizi na yasiyopenda juhudi za serikali hii yanaweza kutokea yaliyotokea kwa wafalme hawa wawili,
mfalme wa esrael alieitaka tanzania kwa nguvu damu yake ililiwa na na kurambwa na mbwa,na ndipo walipooga makahaba wa mji,
kuna watu wanadhani kupoka na kupokonya mamlaka ya mtu ni jambo la kawaida madhara yake ni kupigwa mshare wa kubahatisha kwenye viungo vya chuma katikia,niwaombe tugeuke mapema kabla ya kujeruhiwa.
najua pepo mia nne wamewaingia mababii wa CDM na ACT mkapambane umoja wa mataifa ila wanachama wenu wametawanyika kama kondoo mlimani wasiokuwa na mchungaji,na warudi kwa amani ,
lakini pia ambao mpo ndani ya CCM baadhi mnaodhani mmenyanganywa donge na JPM subirini amalize awamu yake nanyi mtatawala,mkisema mmepokonywa chama chenu na watoto wenu mkirudishe kwa nguvu,mtashitukiwa mtabaki kuomba msamaa muda umepita.
mm ni mwanaharakati huru ambae nawaonya kwa nia njema,lisu na mboe tuache mabadiliko yachukue nafasi yake,hata sisi TANZANIA ni yetu siyo yenu tu.
MM NAMSHAURI LISU AACHANE NA JAMAA YAKE MBOE,SOTE TUNAJUA RAMOTH-G NI YA NANI TANGU MWAZO WALA HATUWEZI KUWARUDISHIA WAJERUMANI,WAIGEREZA,USA HII NCHI NI YA WATANZANIA ,Na kwa kuwa mtajiuliza huyu pepo ameingiaje midomoni kwenu endeleeni.