Wafalme wawili walidhani Ramoth-Gileadi yakwao(TANZANIA NI YETU SOTE)

makwagejo

JF-Expert Member
Nov 25, 2019
361
267
1Wafalme22:1-39
kuna wafalme wawili walikaa miaka 3(miaka58 tanzania) pasipokuwa na vita,mmoja wa yuda na waesrael,mfalme wa esrael akawaambia hamjui kuwa ramoth-geleadi(TANZANIA) ni yetu nasi tumekaa kimya tusiitwae mikononi mwa shamu?(CCM).
mfalme wa esrael akamuliza yoeshafati mfalme wa yuda je utakwenda nami tupigane vita?nae akajibu 'watu wangu ni kama watu wako,farasi wangu ni kama Falasi wako,mfalme wa yuda akaomba waulizwe manabii!

kisha wakaitwa manabii mia nne nao mungu akawawekea pepo wa uongo manabii mia nne wakamdanganya mfalme wa esrael akapigane vita,kisha afie huko.

akatokea nabii mmoja akapinga ambae ni mikaya alipo ulizwa akasema nawaona wanaesrael wametawanyika kama kondoo mlimani hawana mchungaji na warudi kwa amani,mfalme akakasilika akamkamata mikaya nakumueka jela.

mfalme wa shamu akawaagiza wanajeshi wake wampige mfalme wa esrael peke yake lakini baada ya mfalme wa esrael kupata taarifa hizo ilibidi abadilishe vazi akampa rafiki yake vazi la kifalme,rafiki alivyoanza kushambuliwa akapiga ukelele akasema siyo mm.(MBOE ALIBADILISHA MAVAZI HAPA AKAMUACHIA JAMAA YAKE YEYE AKAJIONA MJANJA)

sasa kuna watu wanadhani tanzania ni ya kwao, niwaambie wasiopenda mabadiliko ya nchi hii na kuirudisha mikoni mwa majizi na yasiyopenda juhudi za serikali hii yanaweza kutokea yaliyotokea kwa wafalme hawa wawili,

mfalme wa esrael alieitaka tanzania kwa nguvu damu yake ililiwa na na kurambwa na mbwa,na ndipo walipooga makahaba wa mji,

kuna watu wanadhani kupoka na kupokonya mamlaka ya mtu ni jambo la kawaida madhara yake ni kupigwa mshare wa kubahatisha kwenye viungo vya chuma katikia,niwaombe tugeuke mapema kabla ya kujeruhiwa.

najua pepo mia nne wamewaingia mababii wa CDM na ACT mkapambane umoja wa mataifa ila wanachama wenu wametawanyika kama kondoo mlimani wasiokuwa na mchungaji,na warudi kwa amani ,

lakini pia ambao mpo ndani ya CCM baadhi mnaodhani mmenyanganywa donge na JPM subirini amalize awamu yake nanyi mtatawala,mkisema mmepokonywa chama chenu na watoto wenu mkirudishe kwa nguvu,mtashitukiwa mtabaki kuomba msamaa muda umepita.

mm ni mwanaharakati huru ambae nawaonya kwa nia njema,lisu na mboe tuache mabadiliko yachukue nafasi yake,hata sisi TANZANIA ni yetu siyo yenu tu.

MM NAMSHAURI LISU AACHANE NA JAMAA YAKE MBOE,SOTE TUNAJUA RAMOTH-G NI YA NANI TANGU MWAZO WALA HATUWEZI KUWARUDISHIA WAJERUMANI,WAIGEREZA,USA HII NCHI NI YA WATANZANIA ,Na kwa kuwa mtajiuliza huyu pepo ameingiaje midomoni kwenu endeleeni.
 
HAKIKA WATU WA MUNGU WANAKUFA KWA KUKOSA MAARIFA. KIJANA WANGU Makwanejo USOME BIBLIA NA UKAE UTAFAKALI. ISRAEL BAADA YA UASI WAO kumkataa MUNGU WALIPIGWA NA SHAMU HADI KUPOTEZA ARIDHI YAO. NA KWA KUTUMIA NGUVU ZAO ISRAELI PAMOJA NA YUDA WANATAKA KUIKOMBOA ARIDHI YAO BILA TOBA NA WAKIAMINI MUNGU YU UPANDE WAO si wanitao mwana bwana.NI WAAMINIFU KWA MUNGU. ANA RUHUSU WADANGANYE NA MFALME AFE. ni fundisho kwa watawala waovu wanao tumia jina la MUNGU. usilitaji bure jina la MUNGU. HEBU SOMA VIZURI HII HABAR1 Wafalme 22:25
[25]Mikaya akamwambia, Angalia, utaona siku ile utakapoingia katika chumba cha ndani ili ujifiche.
 
1 Wafalme 22:7-10,13-15,20-25
[7]Lakini Yehoshafati akasema, Je! Hayupo hapa nabii wa BWANA tena, ili tumwulize yeye?
[8]Mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati, Yupo mtu mmoja, ambaye tungeweza kumwuliza BWANA kwa yeye, yaani Mikaya mwana wa Imla; lakini namchukia; kwa sababu hanibashirii mema, ila mabaya. Yehoshafati akasema, La! Mfalme asiseme hivi.
[9]Ndipo mfalme wa Israeli akamwita akida, akamwambia, mlete hima Mikaya mwana wa Imla.
[10]Basi mfalme wa Israeli na Yehoshafati mfalme wa Yuda walikuwa wakikaa kila mtu katika kiti chake cha enzi, wamevaa mavazi yao, katika sakafu langoni pa Samaria; na manabii wote wakafanya unabii mbele yao.
[13]Na yule mjumbe, aliyekwenda kumwita Mikaya, akamwambia, akasema, Angalia sasa, maneno ya manabii kwa kinywa kimoja husema mema kwa mfalme; neno lako na liwe, nakusihi, kama neno la mmojawapo wao, ukaseme mema.
[14]Mikaya akasema, Kama BWANA aishivyo, neno lile BWANA aniambialo, ndilo nitakalolinena.
[15]Na alipokuja kwa mfalme, mfalme alimwambia, Je! Mikaya, tuende Ramoth-Gileadi kupiga vita, au tunyamaze? Akamwambia, Kwea, ufanikiwe; kwa kuwa BWANA atautia mkononi mwa mfalme.
[20]BWANA akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke? Basi huyu akasema hivi; na huyu hivi.
[21]Akatoka pepo, akasimama mbele za BWANA, akasema, Mimi nitamdanganya.
[22]BWANA akamwambia, Jinsi gani? Akasema, Nitaondoka, na kuwa pepo wa uongo kinywani mwa manabii wake wote. Akasema, Utamdanganya, na kudiriki pia; ondoka ukafanye hivyo.
[23]Basi angalia, BWANA ametia pepo wa uongo kinywani mwa manabii wako hawa wote; naye BWANA amenena mabaya juu yako.
[24]Ndipo akakaribia Zedekia, mwana wa Kenaana, akampiga Mikaya kofi la shavu, akasema, Roho ya BWANA alitokaje kwangu ili aseme na wewe?
[25]Mikaya akamwambia, Angalia, utaona siku ile utakapoingia katika chumba cha ndani ili ujifiche.
 
HAKIKA WATU WA MUNGU WANAKUFA KWA KUKOSA MAARIFA. KIJANA WANGU Makwanejo USOME BIBLIA NA UKAE UTAFAKALI. ISRAEL BAADA YA UASI WAO kumkataa MUNGU WALIPIGWA NA SHAMU HADI KUPOTEZA ARIDHI YAO. NA KWA KUTUMIA NGUVU ZAO ISRAELI PAMOJA NA YUDA WANATAKA KUIKOMBOA ARIDHI YAO BILA TOBA NA WAKIAMINI MUNGU YU UPANDE WAO si wanitao mwana bwana.NI WAAMINIFU KWA MUNGU. ANA RUHUSU WADANGANYE NA MFALME AFE. ni fundisho kwa watawala waovu wanao tumia jina la MUNGU. usilitaji bure jina la MUNGU. HEBU SOMA VIZURI HII HABAR1 Wafalme 22:25
[25]Mikaya akamwambia, Angalia, utaona siku ile utakapoingia katika chumba cha ndani ili ujifiche.
nashukuru umenielewa sasa ujasema mikaya ni nani tanzania hii?na wale manabii mia nne wamejitokeza au laa hasha ,kwa maana hiyo unapaswa kuelewa aticle zangu
 
1Wafalme22:1-39
kuna wafalme wawili walikaa miaka 3(miaka58 tanzania) pasipokuwa na vita,mmoja wa yuda na waesrael,mfalme wa esrael akawaambia hamjui kuwa ramoth-geleadi(TANZANIA) ni yetu nasi tumekaa kimya tusiitwae mikononi mwa shamu?(CCM).
mfalme wa esrael akamuliza yoeshafati mfalme wa yuda je utakwenda nami tupigane vita?nae akajibu 'watu wangu ni kama watu wako,farasi wangu ni kama Falasi wako,mfalme wa yuda akaomba waulizwe manabii!

kisha wakaitwa manabii mia nne nao mungu akawawekea pepo wa uongo manabii mia nne wakamdanganya mfalme wa esrael akapigane vita,kisha afie huko.

akatokea nabii mmoja akapinga ambae ni mikaya alipo ulizwa akasema nawaona wanaesrael wametawanyika kama kondoo mlimani hawana mchungaji na warudi kwa amani,mfalme akakasilika akamkamata mikaya nakumueka jela.

mfalme wa shamu akawaagiza wanajeshi wake wampige mfalme wa esrael peke yake lakini baada ya mfalme wa esrael kupata taarifa hizo ilibidi abadilishe vazi akampa rafiki yake vazi la kifalme,rafiki alivyoanza kushambuliwa akapiga ukelele akasema siyo mm.(MBOE ALIBADILISHA MAVAZI HAPA AKAMUACHIA JAMAA YAKE YEYE AKAJIONA MJANJA)

sasa kuna watu wanadhani tanzania ni ya kwao, niwaambie wasiopenda mabadiliko ya nchi hii na kuirudisha mikoni mwa majizi na yasiyopenda juhudi za serikali hii yanaweza kutokea yaliyotokea kwa wafalme hawa wawili,

mfalme wa esrael alieitaka tanzania kwa nguvu damu yake ililiwa na na kurambwa na mbwa,na ndipo walipooga makahaba wa mji,

kuna watu wanadhani kupoka na kupokonya mamlaka ya mtu ni jambo la kawaida madhara yake ni kupigwa mshare wa kubahatisha kwenye viungo vya chuma katikia,niwaombe tugeuke mapema kabla ya kujeruhiwa.

najua pepo mia nne wamewaingia mababii wa CDM na ACT mkapambane umoja wa mataifa ila wanachama wenu wametawanyika kama kondoo mlimani wasiokuwa na mchungaji,na warudi kwa amani ,

lakini pia ambao mpo ndani ya CCM baadhi mnaodhani mmenyanganywa donge na JPM subirini amalize awamu yake nanyi mtatawala,mkisema mmepokonywa chama chenu na watoto wenu mkirudishe kwa nguvu,mtashitukiwa mtabaki kuomba msamaa muda umepita.

mm ni mwanaharakati huru ambae nawaonya kwa nia njema,lisu na mboe tuache mabadiliko yachukue nafasi yake,hata sisi TANZANIA ni yetu siyo yenu tu.

MM NAMSHAURI LISU AACHANE NA JAMAA YAKE MBOE,SOTE TUNAJUA RAMOTH-G NI YA NANI TANGU MWAZO WALA HATUWEZI KUWARUDISHIA WAJERUMANI,WAIGEREZA,USA HII NCHI NI YA WATANZANIA ,Na kwa kuwa mtajiuliza huyu pepo ameingiaje midomoni kwenu endeleeni.
Tuanze kwanza
MBOE ndio nani ?
Hatuwezi kujadili uzi wa mtu ambaye hata kuandika hajui
 
Lugha zingine ngumu...
Kuna tofauti gani kati ya waajiitao "...mwanaharamu huru na mwanasarakasi huru?"
 
Unabii wako haupo ktk vyama ila ktk taifa tak from me. Unadhani tunakopelekwa nisalama?
 
Umeng'ang'ana Mboe Mboe ndio nani huyo? Kipimo cha mtu mjinga ni kutotumia majina sahihi katika references zake.
Na wajinga ndio mara nyingi wanapenda kukufuru kwa kutumia maandiko katika mifano yao ya kijinga kwenye mambo ya kijinga kuhalalisha ujinga wao.
 
Nadhani lengo lako la mapenzi mema kwa kiongozi ni zuri,Lkn umetumia neno la Bwana tofauti na ulichokusudia.
 
Umeng'ang'ana Mboe Mboe ndio nani huyo? Kipimo cha mtu mjinga ni kutotumia majina sahihi katika references zake.
Na wajinga ndio mara nyingi wanapenda kukufuru kwa kutumia maandiko katika mifano yao ya kijinga kwenye mambo ya kijinga kuhalalisha ujinga wao.
chakaza
 
Lugha zingine ngumu...
Kuna tofauti gani kati ya waajiitao "...mwanaharamu huru na mwanasarakasi huru?"
mwanaharamu huru yote yake wala haumizi kichwa ,mwanasarakasi huru utashangaa kiuno kimeteguka,nyonga hoi,minguu imewekewa vyuma mara katema meno,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom