Aisee hata km ww Upo sahihi kabisa kwa 100%lkn namna unavoandika kwa majigambo inakera inaonekana labda Upo kundi la wapendasifa path ama wenyewivu path,
Dah aisee sifa km mzee wa kolomije,
Siyo poa,na si lazima kujibu kwa siiiiifa hasa kwa mtu msomi na makini,
Unachotakiwa kufanya ni ww kuweka ukweli hapa watu wajifunze lkn pia kumpongeza mleta ishu maana kaibua jambo,
Si lazima mtu akikujibu vibaya na ww utunishe misuli,kuna muda unatupia ukweli afu unakauka watu waone wenyewe,lengo ni kuelimisha si kushindana,