Wafahamu watu wanaoitwa Sociopath

Wee jamaa, mtu aliposema Mange, ukasema usichonganishwe, umeambiwa mkuu wa kaya unasema inawezekana akawa Socialpath, Acha hizo, kuwa Fair, Acha chuki!!!!!
Niliowajibu hivyo hao ni watani zangu usi-panic mkuu pole kwa kukuchanganya
 
Nisha wahi kuishi na sociopath, ilifikia stage akaniahidi kunimaliza... nilimwambia asijaribu maana ntamchakaza, aliogopa na kukimbia ingawa still namtafuta nimuone nijue vipi bado anania
 
Nisha wahi kuishi na sociopath, ilifikia stage akaniahidi kunimaliza... nilimwambia asijaribu maana ntamchakaza, aliogopa na kukimbia ingawa still namtafuta nimuone nijue vipi bado anania
Hahahahaha complicated. It takes a psychiatrist or a qualified mental health practitioner to correctly diagnose someone as a psychopath. hakuwa sociapath àlikuwa psychopath maana hawa huwa na uoga na huruma kwa mbali kama mwezi ukiwa mchanga
 
Najiuliza,kama social path ni ugonjwa wa akili,kwa nini Mgonjwa huyu akikamatwa nchi nyingi adhabu yake ni kifo?kama ni kusafisha mbegu mbaya Kwenye jamii,kwa nini hawafungwi maisha badala ya kuuawa.Au ni ile hulka ya binadamu kutaka malipizi?
 
Yote ni sawa
 
Sasa nini? kinasababisha hawa watu wakawa hivyo? kama upweke sio tatizo? je? ni Mungu kawaumba hivyo? au ni mawakala wa shetani?
Tabia hiz hujitengeneza ndani yao wakiwa ktk umri mdogo.. haswa wazaz wanapokuwa wakatili kwa mtoto.. kwa muda mrefu. Then taratib anapozid kukuwa.. na yeye anakuwa na hali hiyo.

Some scientist wanasema ni genetic based.. but uchunguz bado unafanyika kugundua hilo
 
Point
 
Lakin pia mbali na sociopath kuna hawa wenye cluster B disorder.
Inaitwa pesonality disoder.
-Kuna Bipolar personality disorder (BPD)
-Kuna Narcissist Personality Disorder(NPD)
-Kuna HPD
-Kuna ASPD

hawa ni wabaya kuliko hata sociopath.... hawana ubinadamu... utu hawana. Asiliam 95 ya maisha yao ni maigizo ili kuwapata watu wa kuwatesa.
Wanachokiogopa sana ni matendo yao kujulikana au kuwekwa kwenye mwanga....
Wanajali sana muonekana wao... mbele za watu.. lakin ukiwa nao private ni makatili vibaya mno.

Jisomee hawa... utashangaa hawa binadam tunaish nao.. lakin ni kama majin vile.
 
Najiuliza,kama social path ni ugonjwa wa akili,kwa nini Mgonjwa huyu akikamatwa nchi nyingi adhabu yake ni kifo?kama ni kusafisha mbegu mbaya Kwenye jamii,kwa nini hawafungwi maisha badala ya kuuawa.Au ni ile hulka ya binadamu kutaka malipizi?
Kwa jamii ya kwetu ya kiafrica hatujatilia maanani... magonjwa kama haya. Nje ni wazima.. lakin ukweli ni kwamba kwenye akili yao wanatamani kupata mtu wa kumtesa...
wenzetu wazungu mpaka kwenye sheria wameweka.. wanajua jinsi ya ku deal nao kisheria..
 
Kwa hiyo hata huyu mzee naniliu naye ni kama hao?
Maana nasikiaga eti naye hana huruma kabisa.!
Mi thijui lakn maana mie mwenyewe mgeni hapa kijijini.[emoji40]
Somehow but without a right diagnosis... hiwezi jua ukweli.
ila mimi nahis... anakitu bipolar personality disorder(BPD)... au narcissist personality dissorder( NPD)
 
Somehow but without a right diagnosis... hiwezi jua ukweli.
ila mimi nahis... anakitu bipolar personality disorder(BPD)... au narcissist personality dissorder( NPD)
Jazia Mkuu watu wajifunze vitu adimu darasani havipo hivi haswa africa yetu hii naona unawachambua hadi unanipa mzuka ila kuna watu walikuja hapa kupinga alafu hawajaleta mchango wamechanganya Pyschopath na Sociapath wanasema ety mimi kwa uzi huu nimeandika psychopath hahahahaha nilicheka sana na nimekujakuona watu wanaishia kuangalia movie shule hawaendi au vitabu ni mwiko kwao kugusa
 
Sawa sawa mkuu! nashukuru kwa elimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…