Wafahamu malaika na kazi zao

Wafahamu malaika na kazi zao

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,028
Wale wenye elimu zaidi watasaidia
1.Jibril ni malaika mwenye nguvu ana mabawa 600,Alihusika kuuangamiza mji aliokuwa na laana alioishi nabii luut,mbwawa zake akikunjua zinafika kusini na kaskazini mwa dunia
2.Mikail huyu ni malaika mwenye hadhi ya juu sana anahusika zaidi na ulinzi wa anga mambo yote ya hali ya hewa anahusika NATO
3.Israfil huyu ndio malaika atakaye piga paragumu siku ya kiyama..
4.Maalik ni mkubwa wa walinzi wa malaika walio motoni... Jehanam
5.Ridhwaan huyu ni mkubwa wa walinzi wa peponi
6.Munkaar na Nakir hawa wanahusika na kuuliza maswali kaburini...mwenyezi Mungu hatuepushe na adhabu ya kabur
7.Izrail huyu ni malaika mtoa roho
8.Raqiid na Atiid hawa wanahusika kuandika mema na mabaya ya binadamu kila ulipo wapo...
NB..nitaendelea ..
 
Mabawa yanafunika dunia duh!

Naombeni picha zao kwanza
 
NB..nitaendelea ....
wewe ...mtoa mada unabidi ujuwe ...kuwa unaandika uongo mtupu.
 
Ni uongo tuu hamna kitu hapo...et mabawa kusini na kaskazini mwa dunia inamaana mmoja tuu anafunika dunia nzima sasa kama walikuja watatu sijui itakuaje!

Tuache akili za kushikiwa
 
Jibril akiwa kwenye muonekano alisi yuko hivo ...BT akija duniani anakuwa kawaida ...km alivyomtokea Mariam
 
Ni uongo tuu hamna kitu hapo...et mabawa kusini na kaskazini mwa dunia inamaana mmoja tuu anafunika dunia nzima sasa kama walikuja watatu sijui itakuaje!

Tuache akili za kushikiwa
Dunia unaiona kubwa sana ? Ni ndogo xana kwa viumbe km malaika...na kumbuka jibril mi malaika mkuu ana umbo la kipekee
 
Back
Top Bottom