Unaposema kwenye Uafrika hawapo unamaanisha nini?
Afrika kuna jamii nyingi tofauti kama ilivyo Asia na mabara mengine.
Siyo Waafrika wote ni Bantu kama wewe hilo lazima ufahamu.
Ethiopia siyo jamii ya watu wa aina moja, kuna Cushites, Nilotes na Omotic people na wote wana asili ya Afrika.