Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,074
- 4,299
Acha ujinga basi,hata kwa leo tu tumalizie sherehe za ushindi wa SimbaWanayafuata maisha popote yalipo badala na kubweteka,wapo tayari kurisk maisha yao ili wakipate wakitakacho,ni wapambanaji.
Kwani wasipambanie nyumbaniWanayafuata maisha popote yalipo badala na kubweteka,wapo tayari kurisk maisha yao ili wakipate wakitakacho,ni wapambanaji.
Huna akili wewe kiazi,wakati wewe umekaa hapo kwa Bimkubwa unasubiri ugali wakujipendekeza,wenzako wanayatafuta maisha popote yalipo,endelea kubweteka hopo home kwa wazazi.Acha ujinga basi,hata kwa leo tu tumalizie sherehe za ushindi wa Simba
Wameamua kupambania nje,riziki popote.Kwani wasipambanie nyumbani
Hlo si kweli kuna nchi znapopulation kuliko wao na nchi yao sio jangwa sanaaaaaNjaa !!
Idadi yao ni kubwa kuliko chakula
Lakini nyumbani ni bora kuliko ugenini maana wanateseka sana awa jamaa au ni kasumba tu ilo jengeka kwenye jamii zao et kutoboa mpaka uzamie na hata huko waendako wanadunda tu na kudhallshwaWameamua kupambania nje,riziki popote.
Hapo umenena mkuu so wanaile kasumba ya kuamini kutoboa mpaka wazamieMaisha magumu, uongozi wa ki imla but kubwa zaidi ni kwamba kuna wale wenzao wengi tu wapo South Africa, Europe Na from social media wanaonekana wana maisha mazuri. So wale wengine wanapata tamaa ya kujilipua kwa vyovyote vile.
Hapo tu sijala kwenu umeanza kunisimanga.kukimbia nchi maana yake hali ni mbaya ,wanatafuta amani.kama ni kutafuta maisha zipo njia halali za kupita .usitetee upuuziHuna akili wewe kiazi,wakati wewe umekaa hapo kwa Bimkubwa unasubiri ugali wakujipendekeza,wenzako wanayatafuta maisha popote yalipo,endelea kubweteka hopo home kwa wazazi.
Umeshawahi kuangalia kipindi cha US border patrol jinsi wanavyokamata mamia ya waMexico kwa maelfu wakijaribu kuhamia US kiharamu? Hili suala lipo dunia nzimaNiende moja kwa moja kwenye mada husika kume kuwa na wimbi kubwa la kukamatwa kwa wahamiaji haramu sio Tanzania tu bali world wide hawa jamaa wanasumbua wakitaka kuhamia nchi fulani fulani wazijuazo wao tena kwa mazingira hatarishi kama kufungiwa kwenye container.
Kuwekwa kwenye chases za tela nk plus njaa kali swali langu kwanini waethiopia na si nchi zingine ambazo ni adimu sana kuona raia wake wakifanya haya vile vile kuna nchi zenye machafuko zaidi ya Ethiopia sasa kwanini hawa jamaa kwa miaka mingi sana nimesikia kesi zao za uhamiaji haramu toka miaka ya tisini swali langu kwani hawa jamaa wanakwama wapi au huko Ethiopia ni jehanamu?
Serikali ya Kidikiteta. Serikali ina hela watu maisha magumuNiende moja kwa moja kwenye mada husika kume kuwa na wimbi kubwa la kukamatwa kwa wahamiaji haramu sio Tanzania tu bali world wide hawa jamaa wanasumbua wakitaka kuhamia nchi fulani fulani wazijuazo wao tena kwa mazingira hatarishi kama kufungiwa kwenye container.
Kuwekwa kwenye chases za tela nk plus njaa kali swali langu kwanini waethiopia na si nchi zingine ambazo ni adimu sana kuona raia wake wakifanya haya vile vile kuna nchi zenye machafuko zaidi ya Ethiopia sasa kwanini hawa jamaa kwa miaka mingi sana nimesikia kesi zao za uhamiaji haramu toka miaka ya tisini swali langu kwani hawa jamaa wanakwama wapi au huko Ethiopia ni jehanamu?
FYI... nchi ya Ethiopia imejikita ktk UKABILA sana.. vita vyao ni vya kikabila.. So wengi hawana makazi..wapo kiukimbizi na kutangatanga..Hlo si kweli kuna nchi znapopulation kuliko wao na nchi yao sio jangwa sanaaaaa