Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,068
- 4,288
Niende moja kwa moja kwenye mada husika kume kuwa na wimbi kubwa la kukamatwa kwa wahamiaji haramu sio Tanzania tu bali world wide hawa jamaa wanasumbua wakitaka kuhamia nchi fulani fulani wazijuazo wao tena kwa mazingira hatarishi kama kufungiwa kwenye container.
Kuwekwa kwenye chases za tela nk plus njaa kali swali langu kwanini waethiopia na si nchi zingine ambazo ni adimu sana kuona raia wake wakifanya haya vile vile kuna nchi zenye machafuko zaidi ya Ethiopia sasa kwanini hawa jamaa kwa miaka mingi sana nimesikia kesi zao za uhamiaji haramu toka miaka ya tisini swali langu kwani hawa jamaa wanakwama wapi au huko Ethiopia ni jehanamu?