Waethiopia shida nini mpaka hawataki kutulia nchini mwao?

saile thinker

JF-Expert Member
Sep 18, 2020
240
500
Niende moja kwa moja kwenye mada husika kume kuwa na wimbi kubwa la kukamatwa kwa wahamiaji haramu sio Tanzania tu bali world wide hawa jamaa wanasumbua wakitaka kuhamia nchi fulani fulani wazijuazo wao tena kwa mazingira hatarishi kama kufungiwa kwenye container.

Kuwekwa kwenye chases za tela nk plus njaa kali swali langu kwanini waethiopia na si nchi zingine ambazo ni adimu sana kuona raia wake wakifanya haya vile vile kuna nchi zenye machafuko zaidi ya Ethiopia sasa kwanini hawa jamaa kwa miaka mingi sana nimesikia kesi zao za uhamiaji haramu toka miaka ya tisini swali langu kwani hawa jamaa wanakwama wapi au huko Ethiopia ni jehanamu?
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
7,873
2,000
Ethiopia waliletewa maendeleo ya vitu na sio ya watu na sasa wanaonja taaba ya utaratibu huu wa kidikteta.
 
GreedyKenyan

Senior Member
Jan 8, 2010
195
250
Maisha magumu, uongozi wa ki imla but kubwa zaidi ni kwamba kuna wale wenzao wengi tu wapo South Africa, Europe Na from social media wanaonekana wana maisha mazuri. So wale wengine wanapata tamaa ya kujilipua kwa vyovyote vile.
 
maliedo

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
1,486
2,000
Huna akili wewe kiazi,wakati wewe umekaa hapo kwa Bimkubwa unasubiri ugali wakujipendekeza,wenzako wanayatafuta maisha popote yalipo,endelea kubweteka hopo home kwa wazazi.
Hapo tu sijala kwenu umeanza kunisimanga.kukimbia nchi maana yake hali ni mbaya ,wanatafuta amani.kama ni kutafuta maisha zipo njia halali za kupita .usitetee upuuzi
 
FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
23,073
2,000
Niende moja kwa moja kwenye mada husika kume kuwa na wimbi kubwa la kukamatwa kwa wahamiaji haramu sio Tanzania tu bali world wide hawa jamaa wanasumbua wakitaka kuhamia nchi fulani fulani wazijuazo wao tena kwa mazingira hatarishi kama kufungiwa kwenye container.

Kuwekwa kwenye chases za tela nk plus njaa kali swali langu kwanini waethiopia na si nchi zingine ambazo ni adimu sana kuona raia wake wakifanya haya vile vile kuna nchi zenye machafuko zaidi ya Ethiopia sasa kwanini hawa jamaa kwa miaka mingi sana nimesikia kesi zao za uhamiaji haramu toka miaka ya tisini swali langu kwani hawa jamaa wanakwama wapi au huko Ethiopia ni jehanamu?
Umeshawahi kuangalia kipindi cha US border patrol jinsi wanavyokamata mamia ya waMexico kwa maelfu wakijaribu kuhamia US kiharamu? Hili suala lipo dunia nzima
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,345
2,000
Niende moja kwa moja kwenye mada husika kume kuwa na wimbi kubwa la kukamatwa kwa wahamiaji haramu sio Tanzania tu bali world wide hawa jamaa wanasumbua wakitaka kuhamia nchi fulani fulani wazijuazo wao tena kwa mazingira hatarishi kama kufungiwa kwenye container.

Kuwekwa kwenye chases za tela nk plus njaa kali swali langu kwanini waethiopia na si nchi zingine ambazo ni adimu sana kuona raia wake wakifanya haya vile vile kuna nchi zenye machafuko zaidi ya Ethiopia sasa kwanini hawa jamaa kwa miaka mingi sana nimesikia kesi zao za uhamiaji haramu toka miaka ya tisini swali langu kwani hawa jamaa wanakwama wapi au huko Ethiopia ni jehanamu?
Serikali ya Kidikiteta. Serikali ina hela watu maisha magumu
 
Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
13,009
2,000
Hlo si kweli kuna nchi znapopulation kuliko wao na nchi yao sio jangwa sanaaaaa
FYI... nchi ya Ethiopia imejikita ktk UKABILA sana.. vita vyao ni vya kikabila.. So wengi hawana makazi..wapo kiukimbizi na kutangatanga..
No Land to farm..umeleta Famine!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom