Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Waandishi wa habari 3 na wafanyakazi wa afya waliokuwa wakigawa vipeperushi namna ya kujinga na ugonjwa hatari wa ebora wameuawa na wanakijiji kwa kupigwa mawe hadi kufa.
Wanakijiji waliamua kuwaua kwa sababu wanaamini huo ugonjwa wa Ebora haupo bali ni story za kutungwa tu.
Wafanyakazi wengine walionusurika walikimbia na kwenda kureport kwenye kituo cha radio.
Msemaji wa serikali Mr Damantang Albert Camara alisema miili yao imeonekana jana ikiwa imetupwa kwenye tank la shule ya msingi.Amesema wameuawa na wanakijiji kwa kupigwa mawe hadi kufa.