Wadzungwa ni wahehe?wanatoka wapi

Wadzungwa ni wahehe?wanatoka wapi

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
2,007
Reaction score
1,898
Kuna comment nimesoma sehemu watu wanabishana kuhusu kabila la wahehe, walikuwa wakijadili asili ya Mtwa Mkwawa. wengine wanasema Mkwawa alikuwa na asili ya kiarabu/chotara, wengine wakasema alikuwa mweusi tu lakini waarabu walikuja kumsilimisha ndio maana ukoo wa kina mkwawa hadi leo wote ni waislam.

mwingine akasema wahehe asilia ni watu wanaoitwa WAdzungwa. hawa wadzungwa kwa ninavyojua historia ni watu ambao hawakupigana kabisa hata vita kwasababu walikuwa maporini huko milima ya udzungwa kilolo. na hata kihehe chao ni tofauti na kihehe cha watu kama wa mufindi, isimani n.k.

kwa manufaa ya historia, hebu wajuzi tuambizane.

1. watu asilia kabisa wa iringa ni wepi?

2. wadzungwa wana asili ya wapi?
 
Ni kweli mm ni wa kilolo dabaga kule.! Kihehe changu ni tofauti kabisa na watu wa isiman, mufindi.. Mpaka kuna wakati huwa najihisi au kukaa sana mjini kunanisahaulisha kilugha?
 
Back
Top Bottom