BABA PAROKO 92
Member
- Jun 17, 2019
- 92
- 79
Kwa hekima na busara zenu
Wadau nahitaji kununua SIMU mpya dukani
Naombeni msaada wa kujuzwa aina nzuri ya simu yenye uwezo mzuri wa internet ya laini mbili kwa kampuni yoyote inayo toa SIMU ORG ambayo wewe unaiona ni nzuri dukani.
Budget yake isizidi 350k
AHSANTENI
NAWAKILISHA