Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

unnamed.jpg
 
Mi napenda kuangalia wrestling..... Naomba basi mtupieni clip zinazoonesha mapambano ila na sie tusie na vingamuzi tujue kinachoendelea
 
Mimi ni shabiki namba 1 wa Brock Lesnar,

Namkubali mno,
Ukitaka kumjua yupo Vipi kamuulize John Cena.

Kuna pambano lao John Cena alianza kwa kumpiga kibao Lesnar kabla pambano halijaanza, Kilichotokea alivunjwa taya hadi damu ikamtoka.

Waiting For Brock.
 
Kama una king'amuzi cha azam tv fuatilia kwenye channel ya MBC action kila siku ya jumapili,jumatatu na jumanne kuanzia saa tatu kamili usiku!....Pia channel ya MBC power plus huwa inaonyesha
Kinalipiwa sh ngapi? Kifurushi chenye hiyo channel ya MBC?
 
Back
Top Bottom