hivi unategemea sasa hivi nimetoka kazini niende nyumbani kweli mkuu? akina mama ndo waende nyumbani wakalee watoto
Haaaaaaaa Teh teh teh. hii tuachie sisi makafiri tu, wewe huiwezi hii kazi
Kwani hiyo nyama ya nini?
Nguruwe huyo
Tobaaa sikutizama vizuri
Umenikumbusha kuna kipindi ilipigwa marufuku kuna kona moja wakaita mchicha ilikuwa ni shiiiidaaaaaOf course no doubt no gout. Hii ni chakula, mboga aka mnafu. Kuiita mdudu ni kuishusha hadhi. Uipate na bia au soda yenye jasho....we!! ( PITA KUSHOTO KAMA HULI)