Baada ya miezi kadhaa unakuwa huna tofauti na mjamzito! Tofauti ni kwamba, hutakuwa unaenda clinic ya wajawazito!
mashalahImekaaje hii?
Njoo tu, Mgomo wa madereva wa magari umeisha
nipo kibangu. wakigoma tena nitakukodia tax
kamtu33, miss chagga na cute b nina wa PM mje mnisaidie kummaliza huyu mdudu
Ongeza wawili, cute b nishamwalika. tunakaa hadi saa sita sawa?
Baada ya miezi kadhaa unakuwa huna tofauti na mjamzito! Tofauti ni kwamba, hutakuwa unaenda clinic ya wajawazito!