Wadau wa sheria, naomba ufafanuzi wenu kwenye hili

Iruru

Iruru

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
708
1,000
Wapendwa habari za Jumamosi.

Naomba kuleta hoja hii kwenu nikihitaji msaada wa ufafanuzi.

Kuna ndugu yangu ambaye anafanya kazi kampuni fulani. Sasa kutokana na mwenendo mbovu wa kampuni, na hasa kutofanya vizuri na hivyo faida kupungua wameamua kupunguza wafanya kazi; yaani retrenchment.

Sasa wapewa option ya wao kujipunguza wenyewe ama kusubiria mwajiri mwenye awataje ambao watapunguzwa. Katika hili, muajiri ametoa some benefits kwa wale ambao watajipunguza wenyewe kabla ya kutajwa na mwajiri. Hapa ndipo pakampa shida na hivyo kuhitaji msaada hasa wa kisheria.

Je, asubirie kama atakuwa kwenye list ya muajiri ya kupunguzwa ama ajipunguze mwenyewe kama pendekezo la muajiri wake linavyosema. Na je, ni nini faida na hasara za kila upande endapo ikitokea?
Nasubiria majibu yenu kwa hamu ili nami nitoe muongozo kwake.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R

RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
587
1,000
Wapendwa habari za Jumamosi.

Naomba kuleta hoja hii kwenu nikihitaji msaada wa ufafanuzi.

Kuna ndugu yangu ambaye anafanya kazi kampuni fulani. Sasa kutokana na mwenendo mbovu wa kampuni, na hasa kutofanya vizuri na hivyo faida kupungua wameamua kupunguza wafanya kazi; yaani retrenchment. Sasa wapewa option ya wao kujipunguza wenyewe ama kusubiria mwajiri mwenye awataje ambao watapunguzwa. Katika hili, muajiri ametoa some benefits kwa wale ambao watajipunguza wenyewe kabla ya kutajwa na mwajiri. Hapa ndipo pakampa shida na hivyo kuhitaji msaada hasa wa kisheria.
Je asubirie kama atakuwa kwenye list ya muajiri ya kupunguzwa ama ajipunguze mwenyewe kama pendekezo la muajiri wake linavyosema. Na je, ni nini faida na hasara za kila upande endapo ikitokea?
Nasubiria majibu yenu kwa hamu ili nami nitoe muongozo kwake.

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie asubirie muaajiri wake amuachishe kazi hapo ndipo patakuwa patamu. Na asije akasaini nyaraka yoyote toka kwa muajiri bila kujua kilichoandikwa mle na matokeo yake baadaye..

Haijalishi huyo muajiri atafanya kwa hao anaoataka kuwafanyia kuwaachisha kazi. Ni lazima afuate taratibu za kisheria ipasavyo. Mbali na hapo atakuwa ametenda kinyume na taratibu za kufanya retrenchment.

Siwezi kukushauri ipasavyo maana hili ni jambp la kisheria na huduma ya kisheria huwa haitolewi bure mkuu.

So you have to be charged kwa ushauri wa kisheria unaopewa.
 
Iruru

Iruru

JF-Expert Member
Jan 27, 2014
708
1,000
Hahaaa. Well noted boss. Hii ya huduma na charges zake si baada ya kufanikiwa mkuu?
Mwambie asubirie muaajiri wake amuachishe kazi hapo ndipo patakuwa patamu. Na asije akasaini nyaraka yoyote toka kwa muajiri bila kujua kilichoandikwa mle na matokeo yake baadaye..

Haijalishi huyo muajiri atafanya kwa hao anaoataka kuwafanyia kuwaachisha kazi. Ni lazima afuate taratibu za kisheria ipasavyo. Mbali na hapo atakuwa ametenda kinyume na taratibu za kufanya retrenchment.

Siwezi kukushauri ipasavyo maana hili ni jambp la kisheria na huduma ya kisheria huwa haitolewi bure mkuu.

So you have to be charged kwa ushauri wa kisheria unaopewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
12,048
2,000
Mkataba wake wa kazi unasemaje kuhusu 'termination'
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
23,667
2,000
Nasubiria majibu yenu kwa hamu ili nami nitoe muongozo kwake.
Umepewa benefits ukijipunguza,unasubiri upunguzwe bila golden handshake?!
Mwambie ajipunguze hakuna kazi hapo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom