Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,470
- 2,864
Wapendwa habari za Jumamosi.
Naomba kuleta hoja hii kwenu nikihitaji msaada wa ufafanuzi.
Kuna ndugu yangu ambaye anafanya kazi kampuni fulani. Sasa kutokana na mwenendo mbovu wa kampuni, na hasa kutofanya vizuri na hivyo faida kupungua wameamua kupunguza wafanya kazi; yaani retrenchment.
Sasa wapewa option ya wao kujipunguza wenyewe ama kusubiria mwajiri mwenye awataje ambao watapunguzwa. Katika hili, muajiri ametoa some benefits kwa wale ambao watajipunguza wenyewe kabla ya kutajwa na mwajiri. Hapa ndipo pakampa shida na hivyo kuhitaji msaada hasa wa kisheria.
Je, asubirie kama atakuwa kwenye list ya muajiri ya kupunguzwa ama ajipunguze mwenyewe kama pendekezo la muajiri wake linavyosema. Na je, ni nini faida na hasara za kila upande endapo ikitokea?
Nasubiria majibu yenu kwa hamu ili nami nitoe muongozo kwake.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app